Kwa mliooa na kuolewa, hivi hii ni kweli?

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,591
e79277403210bd8944e7874491e3cbdc.jpg
 
Sio kweli mada na picha zake.. Ndoa ni raha tupu usipime.

Kidogo hapa nitapishana nawe Mkuu kwani japo Mimi bado sijaoa na sitarajii Kuoa leo wala kesho ila nina ' Kipaji ' kikubwa sana cha Kusuluhisha ' Ndoa ' za Watu wengi na kila Mwezi huwa sikosi kuletewa ' Kesi ' za Wanandoa 3 au 4 niwasuluhishe sasa unaposema kwamba Ndoa ni raha tupu nashindwa ' Kukumanya / Kukuelewa '. Na nadhani pengine kwakuwa nasuluhisha sana Ndoa za Watu Vijana kwa Wazee ndiyo maana hata ile ' hamu ' kama siyo ' nia ' ya Kuoa imenitoka kabisa na wala sihitaji.
 
Ukikutana na shida hizo kwenye ndoa, basi ujue ndoa hiyo inatatizo la mmoja wa wana ndoa mume ama mke kutokujua nafasi yake na mahitaji ya (msingi) kwa mwenza wake
 
Kidogo hapa nitapishana nawe Mkuu kwani japo Mimi bado sijaoa na sitarajii Kuoa leo wala kesho ila nina ' Kipaji ' kikubwa sana cha Kusuluhisha ' Ndoa ' za Watu wengi na kila Mwezi huwa sikosi kuletewa ' Kesi ' za Wanandoa 3 au 4 niwasuluhishe sasa unaposema kwamba Ndoa ni raha tupu nashindwa ' Kukumanya / Kukuelewa '. Na nadhani pengine kwakuwa nasuluhisha sana Ndoa za Watu Vijana kwa Wazee ndiyo maana hata ile ' hamu ' kama siyo ' nia ' ya Kuoa imenitoka kabisa na wala sihitaji.
Ok I respect maoni yako mkuu na mimi nimejibu on my side,hakika ni raha sana kuwa na mke mzuri, sweet, anayekuheshimu na kujipenda na hasa kuwa responsible na familia Masters na above all when you come to the sex act real una enjoy ile Sweetness mwanzo mwisho.

Lazima hapo nitakuwa upande wa washiriki huo utafiti.

Pole kwa kazi ya kutafuta suluhu ndoa
 
Back
Top Bottom