Kwa mliomaliza form six acheni uvivu tembeleeni web ya Tcu au bodi ya mkopo ac

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
Acheni usumbufu wakuulizia habari za admission kila mwaka wanaupdate new information kuhusu vyuo kama mmeweza kuingia huku kwa nini mshindwe panapowahusu
 
Wacha madogo waulize bwana wengine hajui hata pa kuanzia, wewe kama huna cha kuchangia kaa kimya, hapa ni sehemu ya kutoana ujinga na kupashana habari.
 
Ivi hyo nayo ni thread kwel?

Siyo thread ni uzi.hivi kila mtu akifungua thread anataka aambiwe CUT OFF au kama atapata mkopo au hapati si itakuwa kero wakati Web ya Tcu na board ya mkopo ipo na ina update ambapo atapata taarifa za uhakika
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Anantoa mawazo yake tu usimcrash kiivyo bana.

Wacha madogo waulize bwana wengine hajui hata pa kuanzia, wewe kama huna cha kuchangia kaa kimya, hapa ni sehemu ya kutoana ujinga na kupashana habari.
 
KUNA HAKI YAKUULIZA COZ KUNA INFORMATION ZIKO TOO GENERAL MFANO COURSE FLANI INA HITAJI ANY TWO PRINCIPAL PASS IN PHYSICS, CHEMISTRY & MATHEMATICS SASA JE PCB AU PGM ANAWEZA KUCHUKUA HIZO COURSES?? NDO MAANA WATU WANAULIZA KWA WENYE EXPERIENCE ILI KUWA NA UHAKIKA, MSIKATISHE TAMAA VIJANA, MAWAZO YENU YAWEZA KUA NA IMPACT KUBWA KULIKO HATA TCU GUIDE BooK
 
Siyo kuwakatisha Tamaa utakuta mtu anauliza kwa point zangu hizi naweza pata UD au Udom na mtu akamjibu kwa mazoea tu kuwa waweza pata au hupati bila kufikiria kuwa kila mwaka wanaainisha vigezo vipya kwa vyuo na kila course ina CUT OFF point na idadi ya watu wanaohitajika na pia kuna vyuo vimeongeza pia Tcu wametoa namba za simu pale haya majibu ya haraka na rahisi wanayoyataka matokeo yake watu hukosa vyuo sababu ya kutokuwa makini
 
Back
Top Bottom