Kwa mlio Moshi, ni kweli kwamba muda huu mnavuna mahindi mashambani?

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Wadau salaam,
Kumekuwa na maneno kama uvumi kwamba moshi kuna mahindi mapya kutona mashambani yanavunwa muda huu,

Naomba kuthibitishiwa hili na watu wa huko kwani mimi moshi siifahamu kabisa hata majira yake ya mvua.

Naomba kuthibitishiwa hili kwani kwa hali ya njaa kwa sasa kama hii ni kweli hii ni fursa.
Natanguliza shukrani.
 
Hahaaaaaa km unataka kuona ukame na jua kali njoo moshi mda huu. Sahivi saa 3:33 asbh utadhani ni saa 7 mchana. Mkuu ya kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom