Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mchuma janga hula na wa kwao!!!!!!Mwanaume kuhamia kwa hawara wakati wa kutumbua maraha, ukiugua unajikongoja nyumbani kwa mkeo kuuguzwa.Kwani huyo hawara yako hajui kuchemsha supu?
Mwanaume kuja home kubadili mavazi na kuacha nguo chafu - kwani kwa mkeo ni kwa dobi/dry cleaner?
Yapo sana kwanini lakini?
Karl Max alishawahi kudefine marriage kama "legalized prostitution". Sitaki sana kuamini hicho lakini nafikiri ndoa ya nyumba kubwa mara nyingi inakuwa legalised na unakuwa huru kujionyesha on public. Nyumba ndogo inakuwa private issues. ndio maana kwa watu walioowana wanakuwa pamoja kwa maswala mengi ya public, kwa mfano kwenye sherehe, ambazo zinakutanisha watu wengi n.k. Swala la kuugua si private, mara nyingi linainvolve vitu kama kulazwa hospital vitu amabvyo vinakuwa si private tena. Hapo ndio maana baba anarudi kwa nyumba kubwa. Na pia nyumba ndogo mara nyingi inakuwa haijaotolewa hata mahali, hakuna ground za kuiforce ikuuguze, nyumba ndogo huwa inajua kutoa service, kwani inajua huo ndio uhai wake. Ila kwa kweli swala hili si swala zuri, ila nanyi akida dada badilikeni msijifanye mmemaliza kila kitu baada ya kuolewa, la sivyo mtauguza sana

Maelezo yako ni poa sana aisee.
Ila kwenye red umechemsha....
bibi zetu ndo wameuguza....
sisi mkituletea za kuleta tunawatupa
nje na rambo zenu.Chezea sisi!
Kuna mambo ambayo yanavumilika kwa mwanaume ila yasipite mpaka. Ni vigumu saana kujua mpaka uko wapi as in where exactly is the line Crossed? Kikubwa ni kua inasikitisha saana kwamba wanawake tulo wengie hatujui our power dhidi ya waume zetu. Mumeo aweza kua kiongozi na kichwa wa mambo mengi saana ndani ya family; ila believe me you kuna some area ambao ipo deep na hufukiwa kabisa na wanaume (ili wanawake/wake zao wasijue) - Kilicho fichwa hapo ni woga alo nao kwa mke wake.... Ikiambatana na mawazo ya "what exactly is this woman capable of??"
Mwanaume haanzi kukukanyaga/kukunyanyasa at par.... NO! Huanza taratibu, kuongezeka kwa kasi hutegemea from one to one according to the circumtances but bila shaka pace ya huo ukandamizwaji huongezeka. Mara nyingi ni mwanamke mwenyewe ambae humpa nguvu huyo mwanaume wa kum-mistreat tokana na reaction towards matendo mabovu ya huyo mwanaume. Yaana akuoneshe dhahiri kenda kujirusha kwa hawara (tena kwa majidai) arudi kwako akiumwa? Is he kidding??
Maswala ya kuchemsha supu... Tausi wewe ni mke mna watoto.. Kuna responsibilites kama shule, maradhi, makazi budget kwa siku ni elfu tano... Kweli nyama itanunuliwa? Sidhani, hilo la kuenda kula supu kwa hawara haliepukiki... For the same pesa akiacha nyumbani na kwa hawara cover ya matumizi ya hiio pesa ni at minimal ukifananisha na kwa hawara (ambae ataweka hata pesa yake for anajua in one way or another jamaa atalipa)
Shosti,
akanywe supu kwa hawara yake! Mi sipiki wala sipakui aisee....
ndo uzuri wa wanawake wa karne hii..full kujifahamu na kuamua!
Kama ingekuwa enzi za marahemu bibi sijui ningeishia wapi miye
Em let me be honest,with this kind of thnkn y shud ppl get married?na kwanini umchukulie mkeo kama chambo cha matatizo?aliumbwa kukuhudumia?do you think hana veins zenye blood?i call this selfishness..and hamna justification ya men kula raha na nyumba ndogo na kuleta matatizo nyumbani,a MAN can not do that..hivi hata aibu huoni pale unaporudi na watoto wanakuangalia?dah!i must say,am proud of my dad,sana!.he has been the total opposite of a selfish man!
Patam hapo, na hawakomi wala kujifunza hawa watu...
Mtu ana mke na watoto anaenda malizia mshiko kwa awala, halafu anarudi kwa mkewe akiwa empty!
Em let me be honest,with this kind of thnkn y shud ppl get married?na kwanini umchukulie mkeo kama chambo cha matatizo?aliumbwa kukuhudumia?do you think hana veins zenye blood?i call this selfishness..and hamna justification ya men kula raha na nyumba ndogo na kuleta matatizo nyumbani,a MAN can not do that..hivi hata aibu huoni pale unaporudi na watoto wanakuangalia?dah!i must say,am proud of my dad,sana!.he has been the total opposite of a selfish man!
Hawara wapo kutoa changamoto kwa nyumba kubwa ambayo mara nyingi huwa dorooo
Hah wengine hufungashiwa nguo zao kwenye rambo akarudi kwa Bi mkubwa!!
Shosti,
akanywe supu kwa hawara yake! Mi sipiki wala sipakui aisee....
ndo uzuri wa wanawake wa karne hii..full kujifahamu na kuamua!
Kama ingekuwa enzi za marahemu bibi sijui ningeishia wapi miye!