Kwa mitego. Aliyonifanyia huyu shoga,,,, mungu alijua mapema ndomana akasimama karbu nami tuuuu...

Pole naelewa inavyoshtukiza kama umekutana na jitu na umelipa heshima kumbe ana ajenda mbovu namna hiyo, personally ilinitokea miaka mitano iliyopita halafu ajabu alikuwa member wa Jf alijifanya anauza kitu fulani kumbe mwili yake, niliblock almost everywhere ndo nikajisikia amani, na thanks to God simuoni tena. It was a big shock since then sipendi hata mawasiliano ya simu humu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hivi kumbe ni kweli hata huku kwetu wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mshkaj mmoja nilimkuta kakaa mahal nikasema hv dem gan atakae subutu kumkatalia huyu mshkaj mpaka nikawa namuonea donge jinsi alivyo HB alipokuja kuinuka na kuanza kutembea laahaulaa ni choko kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Siko moja nilikutana na vijana wawili Sinza na mabegi yao mgongoni wako very close dukani, qalivyoondoka na kuanza kutembea mmoja wao ana bonge ya tako, alivyoanza anatembea da nilimuonea Huruma asee kama amepondwa matakoni na matako yanamuuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja ni liboss kwenye NGO moja hivi. Ukizoeana nalo tu linaanza kukuahidi Mara hela Mara likunyonye dushe . Mara litakufanyia ambavyo hujawahi fanyiwa. Watu wengi huacha kazi pale kwa sasabu hiyo. Linaboa sana.
 
Kuna moja ni liboss kwenye NGO moja hivi. Ukizoeana nalo tu linaanza kukuahidi Mara hela Mara likunyonye dushe . Mara litakufanyia ambavyo hujawahi fanyiwa. Watu wengi huacha kazi pale kwa sasabu hiyo. Linaboa sana.
Hatari hii

BORA KUCHELEWA KULIKO KUWAHI USIPO PAJUA
 
Kuna kipindi ilifikia hatua hadi nikawa najiuliza hivi nina mkosi gani kutongozwa na shoga? Au kuna nini kwenye mwili wangu kinachowafanya mashoga kunifuatilia? Harafu wanatabia ya kulazimisha sana mahusiano. Dawa yao akishaanza kukufuatilia kaa kimya na akikufuata kwenye mawasiliano mblock tu

Sent using Jamii Forums mobile app
utakuwa ulifuga ndevu ukanyoa upara
 
Nina tatizo la kuwashwa na ndevu hivyo kila baada ya siku tatu huwa nanyoa zikizidi sana ni siku tano

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ungewahoji maana najamaabangu yy anawatafuna cha ajabu hata twende mkoa mpya machoko wanamjua yaan wataacha watu wote wanamgombania yy ,kumuuliza ndo akanambia wanaangalia ndevu flani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom