Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,401
- 31,363
Tatizo Wznz watalifanya jambo la kisiasa na kuita kero. Watataka kuja na vyeti na ku practice kupitia 'Muungano'Hawataweza ku-practise bila leseni. Awe ametoka Tanzania Bara au mkoa wa Zanzibar. Pia mtanzania au mtu yeyote aliyesomea nje lazima vyeti vyake view evaluated.
Tatizo kubwa ni jinsi ya kuingia kwenye register, unahitaji copy tu za vyeti na faini ni milioni tano tu?
Faini ya kuwa kwenye register bali huna leseni ni milioni mbili tu?
Na adhabu ni either/ or hakuna both (jail/fines). Was poorly crafted in that sense.
Just think about this,wanaagiza umeme wanapelekew hawataki kulipa bill miaka 25+ !
Nadhani kuhusu faini walipaswa kuondoa na kuweka kifungo bila Faini.
Mtu hawezi kuumiza watu na kuwatapeli kwa ku practice bila usajili aambiwe kulipa faini
Kinahitajika kifungo !