Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 353
- 296
Habari za muda huu wadau wa JF.
Kama mada inavyojieleza,Nikiwa kijana wa Kitanzania anayependa sana masuala ya adventures,nimekuwa nikitamani angalau siku moja kusafiri umbali wa 11840KM, kutoka Dar Es Salaam mpaka Port Moresby huko kwenye bahari ya Pacific ndani ya Papua New Guinea.
Nasikia nchi hii ni tajiri sana kwa rasilimali na ipo kaskazini ya Bara la Australia.Siyo siri moyo wangu unaipenda sana hii nchi na ni ndoto yangu kufika huko someday.
Ingawa sina utajiri wowote kwa sasa naamini ipo siku naweza kufika huko.
Tafadhali kwa anayejua ujanja wa kufika nchi kama Australia hata kwa kuzamia kwa meli za mizigo anijulishe wakuu.
Naipenda sana Port Moresby,nisaidieni kimawazo kufika huko wadau.
Pia,napenda kujua kama kuna balozi wa Papua hapa Tanzania.Najua nikipata maujanja ya kufika huko Oceania,nitakuwa na uwezo wa kwenda mpaka katika kisiwa cha Howland huko alikojaribu kufika bibi yetu Amelia Earhart,lakini aka-disappear without trace pamoja na navigator wake Fred Noonan.
Wale mliowahi kuzamia,karibuni sana.