Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

Una shida personal na Wachagga

Thats your personal problem,usituletee

Nail this nail that,who gives a shit?You!

Truth ndio kusema Wachagga wabinafsi?Au unasemea nini?

truth ni kwamba,wao kua selfish ni exactly what is needed,hakuna mtu yupo hapa duniani kuangalia maslahi yako wewe eti aache yake!

Hutaki hilo kalale,hakuna mtu wa kukusaidia!

Mentally weak ni wewe kutoa chuki zako binafsi zisizokua na msingi kuhusu jamii ambayo inakuogopesha,you consider them superior than you ndio maana you cant stand them....

Hili ni tatizo lako binafsi na self esteem yako binafsi,usitupakazie watu wote hapa.

Wewe hujiamini na jamii yako,ni wewe...wengine tunashukuru kuzaliwa na jamii zinazotuhusu,sina haja ya kukusema vibaya au kukuonea wivu for whatever reason kama wewe unavyofanya juu ya Wachagga of which they dont know you,they even dont know if you exist!

Unakimbia kivuli chako binafsi

Umesema na tumesikia,na chuki zako tumeziona,eti sasa hivi unazikimbia,wewe ni mental case!

Hakuna mtu anakuchukulia serious kama hadi maneno yako binafsi unayakana....

Mkuu umeandika,usinipangie jinsi ya kuelewa

Kuelewa ni kazi yangu sio yako,wewe umeandika then chapa lapa

Unapokaa hapa eti kunielekeza jinsi ya kukuelewa ni kama unataka nifundisha kazi yangu

Tafsiri ni yangu,na mali yangu,haikuhusu,usinipangie jinsi ya kukuelewa

Blah blah blah....penda unapotoka,acha shobo na chuki kwa jamii zingine,chuki unazoonesha hapa ni reflection of how unhappy you are with your own ancenstry!
Rubbish reaction..........the python spews what has swallowed........after your true colour had been uncovered , the pinch itches deep down the skin with expurging confusion that takes you to mental psychosis case because all the required symptoms you have conscipicously displayed such hallucination, delusions, depression, anxiety, disorder concetration, suspiciousness, etc. So, to be precise immediately seek for medical treatment avoid from committing sucide.

'Mould the Brain'
 
Utakufa mdomo wazi kwa chuki zako we nguchiro
Ni kama wapemba kwao pemba kuko hovyo acha hawawekezi kule pemba wapemba wamejazana kuwekeza Unguja na Tanzania bara kule kwako kuko hoi huwa wanaenda tu kulaghai kipindi cha uchaguzi wapemba wanasiasa wakaa unguja na Tanzania bara na wenye biashara zao unguja na Dar ndio vinara kulaghai Pemba!! Wachaga na wapemba ikija kwenye uwekezaji kwao wako zero kule kwao huenda tu kufanya matambiko lakini ukienda mikoa mingine wamewekeza sio mchezo ni uwekezaji wa kufa mtu
 
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?

Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu.

Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo lakini imefeli zaidi ya kuongoza kwa usafi tu, ngoja tumuone mbunge na madiwani wa CCM 2020/25.

Jaffo mtuangalie na sisi bwashee.

Johnthebaptist
Usseri Rombo

Maendeleo hayana vyama!
Tanzania ina umri wa mwembe dodo wa Tabora chini ya CCM lakini iko hoi bila ya muelekeo! Mji wa Moshi ni mdogo sana hakuna wakazi, hauwezi kuufananisha na Tabora au Mbeya ambako wakazi wamejenga mjini. Bahati mbaya haujawahi kufika Moshi zaidi ya Lumumba, ungefika Moshi ungejua ni pub tu, wakisha injoyi hao wanasepa. Mji wa Moshi ni mji msafi sana kuliko nyumbani kwako! Hata hivyo ujue na Mara nyingi umesikia sauti ya mkusanya kodi mkuu akisema hatatia pesa ya maendeleo kwenye wabunge wapinzani! Ulitaka madiwani wa Moshi wafanye nini wakati hawakusanyi kodo wao.
 
What replies do I expect from you?

Exact the one you are supposed to reply.....

Sitegemei utoe positive views with chochote nachoongea...umetoa exactly negative views zinazotakiwa

You are doing your job well ya kua negative towards me,na sitegemei kingine zaidi ya negatives from you,so,you stand up or lay down,I dont care your feelings!


Vitu za kufikirika hizi...hadithi juu ya hadithi..mara python,mara spew,mara blah blah....hakuna python hapa,una deal na reality ya human being you dont like!

Mzee James Hardley Chase......

Umekua doctor unapima watu online sijui kwa kutumia vifaa gani vya clinic na kutoa results zao online na prescriptions zao hapo hapo...Mzee Doctor...Umesomea wapi mzee?Muhimbili?

Nah..huwezi kwenda Muhimbili ulifeli shule,hukua na alama A tatu..hiyo medicine ni some illusion uliyobeba kichwani mwako kuzunguka online kujitia doctor ku-diagnose people you even dont know na hujawahi waona!

Mzee ni hivi,una shida na Wachagga

Hizo ni shida zao mwenyewe....Walikudhulumu mahali deal na aliekudhulumu...

Kusema eti Wachagga waache kuolewa na Wazungu wakati wewe mwenyewe umeacha kwenu umeendelea kukimbilia mademu wa Kichagga walo vitoto vyako viwe nusu Vichagga wote nawaona wapumbavu watupu...Wachagga waoe kwao na wewe uoe kwenu...Kuwahukumu Wachagga the same thing you are doing ni ukichaa.

Kingine mali ya mtu ni mali ya mtu,inaitwa Private Property na mali ya umma ni mali ya umma inaitwa Public Property...Umeonesha jinsi gani ulivyo mpumbavu ku-declare eti property zote TZ ni mali ya umma....

Ndio maana mtihani capitalism unafeli sana unachukia Wachagga wanaofaulu zaidi yako which does not make any sense
Labda useme akili za wizi na ubadhirifu lakini sio USOMI na WELEDI (Intellectuality and Professionalism), hasa wewe huna hizo sifa kazi maneno mengi ya mipasho ukaa.

Nationalism is very better than tribalism that you are diligently attempting to promote without breakthrough

...Nobody adores your ancestral descendence....
....Pouring boiled water in an anthill in whcih a poisonous snake hide waiting to bite a passerby cause its stampede as you did........you have missed out the game and you have defined how inferior you are to manouevre around teh battle field. You are therefore failure of teh century representing your pumpkin......I scroll a dot
 
Sasa nyie wenye miaka 60 kwenye utawala si mtujazie hizo karatasi za JIJI.
Mbona unawashwa sana na chadema bibie. Ukilala chadema ukiamka Mbowe.
 
Unasahau kuwa chama cha mapinduzi, kimejaa ubaguzi, majungu, na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate, kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa CCM anasema basi kafanya kazi nzuri.
Wacha hizo. Halima Mdee jaffna nini Kawe panebaki na rindi la u asking muda wote mahajamani kumfagilia tubdulussu au kushambulia maaskari Segerea. Kaja mwana Kawe Askofu barabara zinapitika sasa na walalahoi wa Mabwepande sasa wanaona shule. Kwa Sugu hivohivo. If you want a public office, you must deliver. It does not matter how competent you say you are, 2hat matters ni mafuga matatu: NILETEENI GWAJIMA! NILETEENI GWAJIMA! NILETEENI GWAJIMA. Wapiga kura walimwelewa.
 
Unasahau kuwa chama cha mapinduzi, kimejaa ubaguzi, majungu, na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate, kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa CCM anasema basi kafanya kazi nzuri.
Heeeee sijasikia hii.....kumbe tunaongozwa na sigara kali inawaka mbele na nyuma
 
Wewe ndio kipimo na measuring stick ya wanadamu wote kuhusu uwezo wao kiakili?

Wewe ndie mpimaji?

Utakachosema kuhusu akili ya fulani basi ndio sahihi?

Kwahiyo wewe una mamlaka ya kusema "Wyatt hana akili" basi ndio official assignment eti "wyatt hana akili",wewe ndio ultimtae judge?

Hao Wachagga waliokuibia ni wao,hao waliokufanyia ubadhirifu ni wao,shughulika nao,ila kuja hapa na kutoa unilateral hukumu kwa group la wananchi zaidi ya milioni 3 ambao hawakujui na hawajawahi deal with you in a one on one setting ukawatukana na civilization ya all of them put together ni premature ejaculation unafanya hapa

Nationalism is as stupid as religion

Most egregious killings happened in this world because of these nonsensical stupid beliefs....Na since huna akili u obviously believe in these nonsenses

Nationalism is for stupid people like you,no wonder una matatizo,I dont trust your decision making skills kabisa!

Tribalism ni wewe umesema..mtu anapo enzi anapotoka wewe unaanza kumuonea wivu unamwita tribalist wakati wewe nae una kwenu,hupapendi sababu ya inferiority complex zako,mzee thats your problem!

Ndio maana unaishia kutukana Wachagga bila sababu,this speaks more about yourself with your own problems with your own kind of people ambao hukupenda kuzaliwa huko to begin with.

Kwenu ni kwenu,penda kwenu hata kama ni kubaya!

What the fvck is this nonsense?

Umekua Zoologist?

Get the fvck outta here!

Inferior ni wewe unaechukia watu kupenda kwao

Watu wanapenda kwao,wewe pia una kwenu,cha ajabu unashikwa na hasira watu hawa kupenda kwao

Jamii yako ni bora pia cha ajabu huamini kama ni bora,shida ni kwako pekee yako na mtizamo wako,acha jamii za wenzako zi-flourish,acha wivu wa kipumbavu!

Never a failure

Far from it.....

Siwezi ona aibu na ninapotoka kama wewe....

Na siwezi kukuonea wivu na jamii yako,ndio maana sipo hapa kuponda jamii yako,sina weakness hizo

Wewe ndio unazo,ukilala unawawaza Wachagga,ukiamka unawawaza wao,nigga get a job!
Usichanganye lugha ewe kilema wa utamaduni wako. Amua kuandika kwa lugha moja utaeleweka Kiingereza, Kiswahili, Kifaransa, Kiebrania nk sio kupachika maneno ya kihuni ya kutoka ghetoni huko kwenye kubeba box. NAKAZIA una ubongo wako mfu na uko njiani kutundika nguo zote kichwani. Usipambane na upepo wa kisulisuli utanyooka tu. Na kadri unavyozidi kutapika uchafu wako hapa ndivyo unavyothibitisha kwenye jukwaa wewe ndiye unakwaza kwa maana kile unachokijibu hakibebwi na sili ya changamoto uliyopewa.

Amua kutumia lugha moja ili ulingo uende sawia usijifanye kughani ung'eng'e wa kuokota kwenye magenge ya kiharifu halafu unafokea akili tasnifu. Umebugi
 
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?

Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu.

Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo lakini imefeli zaidi ya kuongoza kwa usafi tu, ngoja tumuone mbunge na madiwani wa CCM 2020/25.

Jaffo mtuangalie na sisi bwashee.

Johnthebaptist
Usseri Rombo

Maendeleo hayana vyama!
Unagaliwe kwa jicho la huruma? Kwani wanapandisha hadhi majiji kwa huruma au kwa vigezo. Acha muitwe Wanyonge
 
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?

Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu.

Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo lakini imefeli zaidi ya kuongoza kwa usafi tu, ngoja tumuone mbunge na madiwani wa CCM 2020/25.

Jaffo mtuangalie na sisi bwashee.

Johnthebaptist
Usseri Rombo

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu mbona huzitetei halmashauri zisizopanda daraja "Liwale, Ileje, Biharamulo na....
 
Back
Top Bottom