Kwa miaka 20 tunashiriki uchaguzi, CHADEMA hatujakubalika, yaliyotokea Zambia hayawezi kutokea hapa Tanzania

Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.

CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.

Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.

Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa CCM bado bado sana.

Tukubali ukweli
Wewe Ujue hicho chama chenye uelekeo wa kushinda ni chama kilichoiongoza Zambia for more than 15yrs. Na hicho kinachoondolewa ni chama kilichokuwa cha upinzani yani kilibahatika kuongoza nchi na sasa kinatolewa madarakani
 
Back
Top Bottom