Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli.
CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma.
Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe lazima kije chama mbadala.
Hapa Tanzania hali si hivyo,maana mbadala wa CCM bado bado sana.
Tukubali ukweli