Kwa Mh. Trump hali yazidi kuwa tete. Yaongoza kwa vifo

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Ooh my Lord heal the land!

Our technology, our money, have nothing to do with this pandemic

Tuzidi kuombeana na kutakasa mioyo yetu na ardhi zetu.

Yesu anarudi upesi na ujira mkononi.

Kubali kutubu na kumpokea Yeye ili ufanywe kuwa mwana, maana pasipo yeye hakuna kuuona ufalme wa Mungu.

Eeh Yesu tusaidie

Screenshot_20200409-232001.png
 
Huyu (Corona) ndio adui yetu sote hapa duniani kwa wakati huu. Lazima sote tuchukue tahadhari muhimu za kiafya ili kumshinda.
 
Data za tar 10au 11, USA atakua na vifo vingi kuliko Italia
 
Wahuni baada ya ligi mbalimbali kusimamishwa sasa hivi wana beti kwenye idadi ya vifo vya korona, tena wanakwambia kabisa kuna team Spain , Italy na Usa .
 
Wapambane na hali yao hata Syria na Iraq wamepambana miaka kibao wakipigwa
Kweli dunia Ina maajabu na mengi tutayaona.

Hatukuamka na kuwaza USA yatamkuta haya na dunia kusimama hivi
Tumuombe Mungu sana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
taifa linaloongoza dunia.
Acha liongoze pia kwenye corona.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Huyu (Corona) ndio adui yetu sote hapa duniani kwa wakati huu. Lazima sote tuchukue tahadhari muhimu za kiafya ili kumshinda.
Nashangaa watu weusi ambao wanaugua Corona wanabaguliwa sana wakati ugonjwa hauchagui rangi
 
mnaoshangilia sijui mkoje? huko inasemwa watunweusi wengi wanpukutika kwasbb ya mgonjw mengine wliyokuwa nayo
 
Na apigweeeeeee kama anavyosababisha vita kwa nchi za mashariki ya kati na Africa. Na wao waonje utamu kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
taifa linaloongoza dunia.
Acha liongoze pia kwenye corona.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
safi sana, wacha waisome namba kwanza
unajua watu weusi huko wenye magonjw mengine kama kisukari na shinikizo wnondoka kwa wingi?
 
Back
Top Bottom