Kwa mfumuko huu wa bei, nimemkumbuka Hayati Magufuli (RIP)

mudi juma

Member
Jul 1, 2022
64
77
Wapendwa, hata binadamu uwe na ukakasi kiasi gani ktk jamii yako, kuna mambo mengine utakuwa umeyatenda vizuri na watu itakuwa ni alama yako kwao, sipingi kwamba Hayati Magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, ila kwa kupaa huku kwa bei ya bidhaa hapa nchini, mimi kama raia wa nchi hii nadiriki kusema "nimemkumbuka aliyekuwa rais wangu john pombe joseph magufuli).

Pumzika kwa amani Dkt. Magufuli.
 
Wapendwa, hata binadamu uwe na ukakasi kiasi gani ktk jamii yako, kuna mambo mengine utakuwa umeyatenda vizuri na watu itakuwa ni alama yako kwao, sipingi kwamba hayati magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, ila kwa kupaa huku kwa bei ya bidhaa hapa nchini, mimi kama raia wa nchi hii nadiriki kusema "nimemkumbuka aliyekuwa rais wangu john pombe joseph magufuli). Pumzika kwa amani dr. Magufuli.
Mtanikumbuka
Nasema uwongo ndugu zangu
 
kwani ni kosa kumkumbuka Magufuli? kwamba serikali iliyopo iliwaahidi kutomkumbuka magufuli?.
kuweni serious basi. then sitawai muoea huruma mtanzania, tunastahili tunachokipitia.
 
Wapendwa, hata binadamu uwe na ukakasi kiasi gani ktk jamii yako, kuna mambo mengine utakuwa umeyatenda vizuri na watu itakuwa ni alama yako kwao, sipingi kwamba hayati magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, ila kwa kupaa huku kwa bei ya bidhaa hapa nchini, mimi kama raia wa nchi hii nadiriki kusema "nimemkumbuka aliyekuwa rais wangu john pombe joseph magufuli). Pumzika kwa amani dr. Magufuli.
Na bado hadi maji muite mma, bei ya mchele ikifika 4000/kg tutaelewana tu.
Mbowe na zitto kama hawapo vile.
 
Matajiri waliishi kama mashetani sasa zamu yetu masikini kuishi kama mashetani!
 
Wapendwa, hata binadamu uwe na ukakasi kiasi gani ktk jamii yako, kuna mambo mengine utakuwa umeyatenda vizuri na watu itakuwa ni alama yako kwao, sipingi kwamba hayati magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, ila kwa kupaa huku kwa bei ya bidhaa hapa nchini, mimi kama raia wa nchi hii nadiriki kusema "nimemkumbuka aliyekuwa rais wangu john pombe joseph magufuli). Pumzika kwa amani dr. Magufuli.
Wengine wanasema bora bei kupanda kuliko kutokuwa na uhakika wa maisha yako hasa ukiwa mkosoaji wa Serikali.
 
Wapendwa, hata binadamu uwe na ukakasi kiasi gani ktk jamii yako, kuna mambo mengine utakuwa umeyatenda vizuri na watu itakuwa ni alama yako kwao, sipingi kwamba hayati magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, ila kwa kupaa huku kwa bei ya bidhaa hapa nchini, mimi kama raia wa nchi hii nadiriki kusema "nimemkumbuka aliyekuwa rais wangu john pombe joseph magufuli). Pumzika kwa amani dr. Magufuli.
ni kweli lakini wakati mwingine jitahidi kuandika majina ya watu japo kwa herufi moja ya mwanzo kubwa.
kwa mazingira yaliyopo ni kwamba hata angekuwepo bado asingeweza kumudu mtikisiko ulivyo sema yeye alikuwa na kibali kwa wananchi wengi kwa hiyo faraja ingekuwepo machungu tungeyapata na bado hali ni ngumu aliyenacho akitunze hali si shwari kabisa na lazima tukubali kubadilisha mfumo wa maisha.
 
Wapendwa, hata binadamu uwe na ukakasi kiasi gani ktk jamii yako, kuna mambo mengine utakuwa umeyatenda vizuri na watu itakuwa ni alama yako kwao, sipingi kwamba hayati magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu, ila kwa kupaa huku kwa bei ya bidhaa hapa nchini, mimi kama raia wa nchi hii nadiriki kusema "nimemkumbuka aliyekuwa rais wangu john pombe joseph magufuli). Pumzika kwa amani dr. Magufuli.
SIKU MOJA MTANIKUMBUKA NA SIO KWA MABAYA
 
Back
Top Bottom