Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,427
85,872
Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza!

Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed.

Leo wamejifunga wenyewe baada ya mchezaji wao kushambulia team ambayo haikuwa "mchezoni" na hivyo kujikuta kufungwa goal kirahisi jioni hii ya leo.

Upinzani umeongezeka sana ndani ya team hizi! Mara nyingi wanashambulia team iliyolazimishwa kushushwa daraja na hivyo kujichanganya wasijue adui nani na ndugu ni nani.

Tutaendelea kuwapa updates ila kwa hali ilivyo, kesho Pilau la IDD halitalika upande wa team ya wenyeji/Wapinzani wakati kwa upande wa team ambayo haiko mchezoni ni kama vile Wao peke yao ndio mwezi umeandama kwao.

Yaani Allah ana mema yake.
 
CC. SABAYA
 
Angalia wasije kukuroga maana wana roho mbaya kama nyoka
 
Pilau la kesho litanoga hata kama halina nyama wala viungo
 
2773446_1620965296552.png
 
Back
Top Bottom