Mheshimiwa Halima James Mdee;
Hata sisi makada wa ccm tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga katika siasa zetu, hata hivyo umeonyesha uwezo mkubwa tu wa kufikiria na kuchanganua mambo.
Umekwenda bungeni tukijua kwamba ili uweze kuleta mabadiliko uliyoyaongea sana kwenye kampeni zako inabidi ufanye kazi bega kwa bega na wabunge wenzako pamoja na watendaji wa serikali. Ulivyoapishwa kuwa mbunge ulikubali kulitumikia taifa kwa misingi ya katiba yake. Na ukamuomba mola akusaidie. Sisi tulipata faraja sana, kuona mbunge kijana na mwanamama akituwakilisha, ukiachilia mbali itikadi zetu tofauti za kisiasa.
Halima, umekwenda bungeni baada ya wiki moja tu, hatukuelewi vizuri. Umeapa kufanya kazi na serikali hii lakini jana umefuata mkumbo na kutoka kwenye hutuba ya raisi. Kwa sisi wakazi wa kawe, kuwalk out sio tatizo. Tatizo ni unafiki wa hicho kitendo, juzi uliapa kuwa mbunge knowing kwamba lazima ufanye kazi na serikali hii. Pia utaanza kutimiza ahadi zako ulizotuahidi. Lakini, pia unasema kwamba humtambui rais jakaya. Halima, unatuchanganya huku jimboni. Miaka 5 ni mingi, na kama utakuwepo bungeni kufanya hii michezo ya kuigiza kwa kipindi chote, nadhani utakuwa unapoteza sana potential yako. Kwa sisi tunaokujua, tunaamini kabisa kwamba umeshindwa kwenda kinyume na uongozi wa chama chako. Lakini hilo haswa ndio linalotuogopesha, kushindwa kufuata misingi yako kwa sababu ya shinikizo la uongozi wa freeman na mwenziwe willbrod.
Huku kawe ni wewe pekee utayekuwepo kwenye ballot hapo 2015. Na sisi wana kawe tutakukumbuka kwa yale uliyojenga na sio kubomoa. Mpaka dakika hii, hujajenga hata moja, na unabomoa misingi ya ushirikiano with your number one partner in development of kawe, serikali ya ccm.
Ni hayo tu, karibu tegeta.
Selemani.
Ps; kawe ulipata kura 43,365. Rais jakaya alipata kura 45,321 (48%). Nakuomba ulifikirie hilo