Kwa mbali naiona CHADEMA ikizaliwa upya tena ikiwa na " Wagumu" watupu!

Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.

Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.

Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe Chadema bado wapo, me nilishawasahau aisee!!!!!!!!!!
 
Nyumbu hawana kumbukumbu hizo, wanangojea kuvushwa na Mbowe.....

"Mwamba tuvushe"
Wewe nguruwe wa Lumumba koma kuwaita Chadema nyumbu
Screenshot_20200628-103658.jpg
 
Kumbe imekufa/ ilikufa na bado hamkusema.
Kwani taasisi au mtu tunapoambiwa anazaliwa upya au amezaliwa upya ina maana alikuwa amekufa? Hivi CCM akili zilienda wapi? yaani mwanaCCM tena mtu mzima mwenye uwezo hata wa kufungua JF lakini hajui tofauti ya kuzaliwa na kufufuka. Kwake anayezaliwa alikuwa amekufa. Sasa sijui kwa mwanaCCM anayefufuka anakuwa alikuwaje?
 
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.

Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.

Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.

Maendeleo hayana vyama!
Ndio chama kitakachotokomboa na udikteta uliopo tuwaunge mkono.
 
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.

Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.

Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema haijafa iliyokufa ni CCM inayobebwa na vyombo vya dola
 
Mtakosa sana usingizi genge la familia moja limepooza halina mvuto mtagombana sana wenyewe kwa wenyewe ila kwa uchafuzi mliofanya utawarudia!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.

Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.

Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani aliekwambia chadema imekufa nani, ? KWA tahalifa yako tangu uchaguzi chadema imeimarika sana
 
Kwani taasisi au mtu tunapoambiwa anazaliwa upya au amezaliwa upya ina maana alikuwa amekufa? Hivi CCM akili zilienda wapi? yaani mwanaCCM tena mtu mzima mwenye uwezo hata wa kufungua JF lakini hajui tofauti ya kuzaliwa na kufufuka. Kwake anayezaliwa alikuwa amekufa. Sasa sijui kwa mwanaCCM anayefufuka anakuwa alikuwaje?
Mi ni CUF wewe!
Kuzaliwa upya maana yake CHADEMA mpya. Sasa kama CHADEMA ya zamani tunayoifahamu haijafa basi bado ni ile ile au tuseme zitakuwa mbili; mpya na ya zamani.
 
Back
Top Bottom