Kwa mazingira ya barabara za vumbi chuma ipi itafaa kati ya Subaru Forester, Prado, Rav4 na Vanguard!

Labda ngoja nikupe elimu ya bure fasta.SUV zipo aina nne ambazo ni:

1.Full size SUV:Mfano Prado,VX,V8.

2.Mid size SUV:Mfano Kluger,Vanguard,Harrier,Suzuki Escudo,etc

3.Crossovers SUV:Honda CR-V,RAV4,Subaru forester.

4.Mini SUV:Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid.

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size au crossovers.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.How come sasa unalinganisha Prado ambayo ipo class A(Full size SUV) na Subaru forester ambayo ipo class C(Crossovers)?!Kwa hiyo hapo Prado ndiyo gari bora kuliko zote ulizotaja hapo.
Umetisha
Capture12.PNG
 
Back
Top Bottom