Kwa mazingira ya barabara za vumbi chuma ipi itafaa kati ya Subaru Forester, Prado, Rav4 na Vanguard!

Junnie27

Member
Aug 18, 2021
85
125
Je waweza kutupatia siri moja ya kwanini unapenda zaidi subaru na sio aina zingine za magari?

Nina hakika kuna kitu cha ziada ambacho wengi hatujui kuhusu subaru.

Ahsante
kwa ufupi sanaaa n gari yangu ya 3 na ndipo nikaona nmepata kitu sahihi nilichokuwa nahitaji kutokana na passion angu ya magari

first: Confetabilityand stability ktk high speed

sec: Easy to advance kuanzia muonekano hadi performance wize

third: iko favour sanaa ktk fuel economy kulingana na trip zangu

lastly: for stunt iko poa sanaa

but i like sport car indeed.
 

and 100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,533
2,000
Labda ngoja nikupe elimu ya bure fasta.SUV zipo aina nne ambazo ni:

1.Full size SUV:Mfano Prado,VX,V8.

2.Mid size SUV:Mfano Kluger,Vanguard,Harrier,Suzuki Escudo,etc

3.Crossovers SUV:Honda CR-V,RAV4,Subaru forester.

4.Mini SUV:Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid.

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size au crossovers.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.How come sasa unalinganisha Prado ambayo ipo class A(Full size SUV) na Subaru forester ambayo ipo class C(Crossovers)?!Kwa hiyo hapo Prado ndiyo gari bora kuliko zote ulizotaja hapo.
Umetisha
Capture12.PNG
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom