Kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi DAR INSITUTE OF TECHNOLOGY (DIT).. Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi DAR INSITUTE OF TECHNOLOGY (DIT).. Msaada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Aaron, Feb 12, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,121
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za DIT au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in Labaratory technician au Computer engineerin.
  Division four ya 27.
  Civ-D
  Gography-D
  Kisw-C
  Engl-C
  Math-D
  Chemistry-D
  Physics-F
  MSAADA WENU..
   
 2. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kama wewe ni KE waweza kupata kwa kupia Mature entry lakini kama wewe ni ME sahau mkuu, hii ni kutokana na hako ka F ka Physics ulikopata, Lakini nikupongeze kwa matokeo uliyoyapata kwani uticha wa primary hapo ni kugusa tu lazima utapata
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Div 4 point 27! Ndugu yangu rudia mitihani ! Hapo hupati nafasi vinginevyo wahi certificate ya ualimu grade A
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Jaribu vyuo ka muccobs,mzumbe,ifm,iaa,tumain na saut,watakuchukua kwa level ya certificate.
   
 5. M

  Mkolakumwezi Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Honger umejitahidi mdogo wangu,mimi niseme unaweza kupata wala usiwe na wasiwasi kwani kuna mdogo wangu alikua na matokeo kama hayo ingawa yeye hakua na F ya Physics,cha msingi utachukua Joining Instructiions then utasoma mature entry for 3months then utapiga paper baada ya hapo ukifanya vizuri wanakubakisha hapo ila mwaka wa kwanza utajilipia then baada ya hapo gvt inaweza kukusupport nayasema haya nna uhakika nayo na yupo mdogo wangu hapo amefanikiwa kupitia hizo njia nilizokuwekea kwa hyo usikaishwe tamaa hata kidogo,ada yao kama ukiqualify ni laki7 then utakapokua unasoma mature entry kwa miezi 3 utatoa kama kama laki na elfu tano hivi,kila la kheri mdogo wangu usikate tamaa nenda pale kakomae kwani yanawezekana haya kwa maombi
   
 6. A

  Aaron JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,121
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  plz naomba namba yako ya simu.
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  mi nadhani kurudia mtihani ni kupoteza muda tu ... ajaribu ualimu maybe
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha kumislead hapa! Mature entry zimepigwa marufuku na TCU
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kijana salama?!
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Huku ndiko kunakoitwa kujitahidi? Basi Elimu yetu haina maana
   
 11. M

  Mkolakumwezi Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry ndugu yangu nilitaka kumaanisha Pre entry ndugu yangu
   
 12. M

  Mkolakumwezi Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  0786383115 nitafute ntakuelekeza zaidi
   
 13. M

  Mkolakumwezi Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Probably dogo katoka shule za Kata na kwa zero zilivyo nyingi kajitahidi dogo
   
 14. A

  Aaron JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,121
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  Aksante.. Ntakutafuta.
   
 15. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hivi huu ualimu ndo kwa ajili ya waliofeli tu? Watoto wetu wanafundishwa na walimu waliofeli watoto wakifeli tunalaumu watoto wamefeli? Mambo gani haya!
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Yah inawezekana...ni ndani ya miaka michache lakini haya mabadiliko yanatia shaka....wengi sasa wanasifiwa kwa kupata division 4
   
 17. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Je na aliyepata hv
  p=D
  C=D
  M=C
  H=C
  CI=C
  K=C
  G=C
  L=D
  B=D
  KAPATA III=23 anaweza pata Eletronic Au computer
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kuna uwezekano wa kupata.
   
 19. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  poa mkubwa kwa ushauri wako ANSATE
   
 20. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha kumpotezea dogo muda,DIT hawatakuchukuwa una F ya physics,fani ya Laboratory unayoomba ni pure PCB,hata kama ungepata utaenda kuteseka physics na hesabu zimesimama kinoma,nimeingia pale na division one nikapiga diploma na digree pale upande wa Electronics,nimemaliza lakini cha moto nimekiona! sitamani mdogo wangu aende pale tena wewe mwenye division four Uta-disco asubuhi na mapema wahi ualimu ushike kimshahara chako uanze na ujasilia mali kubali uwezo wako ni mudogo.
   
Loading...