Habari zenu wana JF mimi matokeo yangu ya Form Four nina:
Phy - D
Chem - B
Bios - C
Math - D
Engl - C
Je, ninaweza kupata katika vyuo hivi kutikana na ushindani uliopo?
KCMC - Optimetric
Mbeya College - Clinical Officer
Cotc Mtwara - Phamacy
Cotc Masasi - Clinical Officer
Mafinga Training Center - Clinical Officer
Je, kati ya hivyo nilivyo aply kipi naweza kupata kwa ushundani uliopo?