Kwa matokeo yangu haya naweza kuapata Chuo gani cha Kozi za Afya

Jeshii

Member
Jul 9, 2020
11
0
Habari zenu wana JF mimi matokeo yangu ya Form Four nina:

Phy - D
Chem - B
Bios - C
Math - D
Engl - C

Je, ninaweza kupata katika vyuo hivi kutikana na ushindani uliopo?

KCMC - Optimetric
Mbeya College - Clinical Officer
Cotc Mtwara - Phamacy
Cotc Masasi - Clinical Officer
Mafinga Training Center - Clinical Officer

Je, kati ya hivyo nilivyo aply kipi naweza kupata kwa ushundani uliopo?
 
hongera kwa ufaulu mzuri nenda kasome clinical officer omba vyuo vya serikali kuna unafuu wa ada.
 
hongera kwa ufaulu mzuri nenda nikasome clinical officer omba vyuo vya serikali kuna unafuu wa ada.
nimesha aply hivyo vyuo vya serikali nauliza naweza kuvipata hivyo vyuo kwa ushindani uliopo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom