Kwa matokeo ya Div 1 ya 9 naweza soma Sheria UDSM na Mzumbe

Jun 6, 2019
12
3
Jaman naombeni msaada na ushauri pia mm ni muhitimu wa kidto cha sita 2021 na nimepata dvsion 1ya 9 nataka kusomea sheria UDSM au Mzumbe je inawezekana?
 
Jaman naombeni msaada na ushauri pia mm ni muhitimu wa kidto cha sita 2021 na nimepata dvsion 1ya 9 ntka kusomea sheria udsm au mzumbe je inawezekana ?

Kachukue tcu guide book angalia requirements za hiyo course kama unazo basi inawezekana sema kwahiyo DIV I inawezekana tu jombaa
 
Back
Top Bottom