CCM inaelekea kuwa taasisi kama taasisi zingine za serikali zinazotegemea kila kitu kutoka serikali kuu, kuanzia kwenye, majengo, usafiri, nyumba za kuishi, kodi, mishahara, matibabu pengine hata unifomu wanapewa na serikali.
CCM inabweteka kwa kudhani matokeo haya ni juhudi za chama, wakati kihalisia ni juhudi za polisi, NEC, wakurugenzi, msajili, wakuu wa Wilaya na Mikoa.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kuwaasa CCM kuwa wasitegemee Polisi kushinda uchaguzi, wakumbuke serikali tuliyonayo si ya kudumu kuna siku itaondoka chama kitatakiwa kisimame kama chama kitashindwa hata kukimbia ama kuruka kama kuku wa kizungu aliyezoea kuletewa chakula bandani.