Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

Tafadhali kumbuka kuwa Jiwe kabla ya kuwa Rais alikuwa muda mrefu kama waziri au naibu hivyo alikuwa sehemu ya serikali asingeweza kupinga mwelekeo wa Rais aliyekuwa madarakani na haswa haswa wakati wenu na Vasco Dagama mlipoachia maliasili ya nchi iporwe na Waarabu na Wachina kwa faida yenu binafsi na familia zenu!
Kwahio alikalia kimya uovu, nahuku akijua niuovu?. Kwa sababu yuko sehem ya Serikali ikabidi atulie, kwa mantiki hio unamaana hata wengine walioko ndani ya Serikali wapo wanweza kufanya vizuri Zaidi ya jiwe kwa sababu tu bado hawajapewa madaraka Kama ya jiwe?.
 
Maswali magumu
 
Kama uhuni uliokuwa unafanyika haukumpendeza, alishindwa nini kujiuzulu uwaziri ili apate platform ya kuukosoa ?
Mnafki haachi asili.
 
Nilivyosikia mpaka sasa wamerudi 3 kwa Arusha.......ni kina nani...... ndio nasubiri.......
Nadhani wananchi wa Chugga tupo watulivu na tutaendelea kuwa watulivu kwa muda kidogo........
Asante kwa mrejesho. Tutawajua tu it's just a matter of time
Usaliti si mzuri aisee
 
Naomba picha ya Mh Silinde akipiga magoti madhabahuni!

Wajumbe si viumbe, spana wanaijua
Screenshot_20200720-234832.jpg
 
Ukitaka ku rank wagombea wengine vs Jiwe, inabidi umuangalie jiwe kabla hajawa Rais.
Unazungumzia ulinzi wa rasilimali za nchi.
- Jiwe hakuwahi kusisika ndani ya bunge, nje ya bunge wala mahala popote pale akilalamika juu ya madini yetu ya aina yoyote kutolifaidisha Taifa kabla hajawa Rais. hakuwahi.

n.k
Wewe hujui chochote Bora ukae kimya
 
Kwa utafititi nilioufanya kwa mikoa 3 tu yaani Mwanza,Mara na Simiyu ,madiwani waliounga Juhudi kisa mh Rais na baadhi kununuliwa na kupewa nafasi ya kugombea kwenye chama cha CCM wote wameangukia pua

Mpaka sasa sijapata Diwani aliyeunga juhudi aliyependekezwa na ccm kupeperusha bendera

Wengi wa madiwani waliounga juhudi matokeo yao yamechezea 0 hadi 3 tu kati ya wapinzani wao ccm asili waliochezea 78 kwa 105

Asanteni CCM

Kuna usemi wa utani mitaani unasema hao ni (kama) ngombe waliokatwa mikia yaani they easily identifiable!
 
Tafadhali kumbuka kuwa Jiwe kabla ya kuwa Rais alikuwa muda mrefu kama waziri au naibu hivyo alikuwa sehemu ya serikali asingeweza kupinga mwelekeo wa Rais aliyekuwa madarakani na haswa haswa wakati wenu na Vasco Dagama mlipoachia maliasili ya nchi iporwe na Waarabu na Wachina kwa faida yenu binafsi na familia zenu!

Acha
Mkuu hii unaisoma ndivyo sivyo. JPM hajakataliwa kabisa, "walikuja" kuunga mkono juhudi (kwa uelewa wao mdogo) JPM na CCM wana amini wamepata walichotaka nacho ni kuidhofiisha CDM (sijui wamefanikiwa kiasi gani)-sambaratisha madiwani na wabunge wake achilia mbali wanachama wake. Na sasa wamewatupilia kulee.....
wanachama wa ccm hawakushiriki kwa ujinga wa kudhoofisha misingi ya uongozi wa Taifa kwa misingi ya kidemocrasia, kama walishiriki, kipindi hicho hao malaya wa chadema wananunulia wangepitia kwenye mchakato wa namna hii ndani ya ccm wakashinda alafu wakaingia kwenye uchaguzi wa ushindani sawa na vyama vingine washinde pia.

Ukumbuke, hao malaya walishinda baada ya kupigiwa kura nyingi na wananchi katika maeneo yao, kama walikuwa wanataka kuunga mkono juhudi wangeziunga kwa hoja bila kuliingiza Taifa Hasara za kurudia uchaguzi huku wakipokea hongo kutoka account za serikali pale Ikulu.

aliyekuwa na lengo la kudhoofisha upinzani ni Magufuri, ujinga kabisa, Magufuri hajawahi jitambua kama ni kiongozi wa Taifa na hivyo ni kiongozi si tu wa wananchi bali wa vyama vyote vya upinzani, Kama kiongozi wa Taifa hajui kama anawajibu wa kuona Taifa linasheheni siasa safi na mfumo wa kidemocrasia unaokua.

hata huko kuudhoofisha upinzani kwenyewe akikufanya kishamba, alivunja hata taratibu za chaguzi ndani ya ccm. ndio maana sasa wana ccm wamempa majibu. CCM ni chama kikongwe, kina katiba na kanuni zake na zinafahamika kwa wanachama wake, na hawavumilii ujinga wa ulevi wa madaraka.
 
Ukitaka ku rank wagombea wengine vs Jiwe, inabidi umuangalie jiwe kabla hajawa Rais.
Unazungumzia ulinzi wa rasilimali za nchi.
- Jiwe hakuwahi kusisika ndani ya bunge, nje ya bunge wala mahala popote pale akilalamika juu ya madini yetu ya aina yoyote kutolifaidisha Taifa kabla hajawa Rais. hakuwahi.

n.k
Na wakati Wabunge wa upinzani walipofukuzwa bungeni kwa kupinga sheria mbofumbofu za madini aliunga mkono na kushangilia sana.
 
Mkuu ukweli ni kuwa hakuna mtu anaeweza kuua upinzani, Mola wetu katika kutuumba amehahakisha wote hatuko sawa kimawazo na kimatamanio (diversity). Hata China kuna wapinzani sasa CPC kinachofanya ni kuwashughulikia wapinzani na kwa mbali unaweza kufikiri wameua upinzani, sana sana wameudhoofisha upinzani. Gadafi ilikuwa hivyo hivyo, maendeleo ya vitu yalikuwa makubwa lakini akabinya uhuru na mwisho Libya imefika ilipo fika.
CCM inajaribu kufanya hayo ya kuua au kudhoofisha upinzani, lakini ukweli hawataweza kuua upinzani hata kama watapitisha sheria tuwe na chama kimoja upinzani utahamia chini kwa chini.
Huwez uwa upinzani sababu wanadamu hatufanani, Kama mtu anaweza kupenda bila sababu, Yuko atakayekuchukia bila sababu
 
Kwa utafititi nilioufanya kwa mikoa 3 tu yaani Mwanza,Mara na Simiyu ,madiwani waliounga Juhudi kisa mh Rais na baadhi kununuliwa na kupewa nafasi ya kugombea kwenye chama cha CCM wote wameangukia pua

Mpaka sasa sijapata Diwani aliyeunga juhudi aliyependekezwa na ccm kupeperusha bendera

Wengi wa madiwani waliounga juhudi matokeo yao yamechezea 0 hadi 3 tu kati ya wapinzani wao ccm asili waliochezea 78 kwa 105

Asanteni CCM
Hata Urambo kuna jamaa yangu kaniambia wote wameangukia pua, Amatus Ilumba na Lubungila wote chali kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom