Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

Pozi lake linachekesha
Inachekesha na nadhani ni moja kati ya vituko vya ucahguzi
Yaani ukiangalia kwa makini hata angeambiwa aweke pembeni sarawili sidhani kama ilikuwa issue kwake

Mwenyewe katia kijani halafu nyeusi juu ya ngwasuma. Baada ya hapo goti altare ya sinagogi la wajumbe
Mwisho wa siku kaangukia pua upande wa kuume! damu zinabubujika mke wa kumfuta hayupo , wajumbe wameshakula chao na matokeo hayo!

Hakuwa na sababu ya kudhalilika alijua yeye ni Momba, hakujua umaarufu wake upo juu ya chama!
Huko tweeter mkewe ame ''left'' lol
 
Alijiona mkubwa kuliko chama
 
Alijiona mkubwa kuliko chama
Alidhani yeye ndiye chama. Huyu at least ameosha tongo tongo, kinachosikitisha eti alishauriwa na Lijualikali ambaye sote tunajua elimu hakuna waaasi chama wakisaidiwa na Ndugai

Waliahidiwa mafao yao wakikomaa na kutukana chama chao.
Siku alipokutana na wajumbe hakuna kiongozi wa Bunge aliyekuwepo, ndipo hapo unamuona ameegesha tumbo juu ya ngawasuma zake akiwalilia wajumbe. Hawakufanya kosa, walimtenda pamoja na sala yake juu ya altare la wajumbe

Huyu hata akiteuliwa kuwa RC au DC , watu wataogopa mamlaka yake si yeye, pembeni watamdharau sana
Hiyo picha tu ukiinyanyua inatosha kabisa kumweleza ni nani. Amejidhalilisha na familia yake sana tu.
 
Halafu mkuu naye ana akili.
Hawa hamahama wametemwa wote.
 
Wakata umeme
IMG-20200725-WA0002.jpg
 
Halafu mkuu naye ana akili.Hawa hamahama wametemwa wote.
Ahh saint bwana! hivi ukimaliza kutumia toilet si unatupa mahali pake! haina thamani tena

Mkuu alifanya vile lakini wana CCM iliwakera sana. Yaani mtu anafia chama halafu muunga juhudi anakuja na ulaji hapo hapo! Kijani hasa wajumbe wakasema 'hatuwajui''

Kuna katuni moja ya masoud Kipanya inaonyesha wamelambwa 'nyembe' wote na mmoja aliyebaki ni majeruhi , yule Dr wa K'njaro. Huyo wananchi wa Kilimanjaro watamaliza kazi.

Madiwani dah, ni vichwa tu kama dagaa! wajumbe hawaangali unatubu au umesimama juu ya ngwasuma

Kuna matokeo yametia raha saan, Silinde na Nassari. Hawa wameonyesha umma kuwa akili si uji uliojazwa kichwani, ni kiungo kinachotumika katika fikra.

Picha ya kuunga juhudi inayotumika sasa ni ya Silinde!
 
Huyu silinde alikuwa jeuri huyo.
Mimi si mwana chadema ila kwa jeuri aliyokuwa nayo sijaamini kama ndiyo yeye huyo amechutama kupiga magoti
 
Hapa si suala la chama au ushabiki, ni suala la kueleza ukweli. Hawa watu wamekaa katika chama chao miaka 5 wakiwakilisha watu kumbe hawakuwa na mapenzi. Wameondoka baada ya masilahi halafu wanaunga mkono jitihada ili tu warudi bungeni.

Inakera sana vijana kufanya siasa za kipumbavu kama hizo. Kuhama vyama ni haki yao, kujiunga na vyama ni haki yao wala hakuna kosa. Makosa ni kutumia siasa kwa utapeli usiokuwa na kichwa wala miguu. Of course siasa ni aina ya utapeli lakini ujinga wa Silinde, kwamba, ameondoka bungeni baada ya mafao, yaani amenunuliwa kwa kuahidiwa mafao halafu anarudi kuwaambia wananchi anataka kurudi bungeni kwa njia nyingine ni upuuzi

Alifika mahali akawaona wananchi ni wajinga sana! Nashukuru wajumbe wa std 7 walimpigisha magoti kisha wakalamba kichwa. Sasa hivi amebaki na picha ya dhalili maishani mwake. Picha ambayo mwanae yoyote hatapenda kuiona asilani.

Picha ya silinde iwe kielelezo kwa wanaojifunza siasa, kwamba, kuna wakati unadhalilika na kubali na dhalili hiyo maishani mwako hadi siku unaondoka duniani. Picha ya Silinde ni mwiba kwa familia na watoto wake achilia mbali mke.
 
Back
Top Bottom