kwa matokeo haya ya form six, anaweza somea diploma ya udaktari ? na chuo gani ?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,743
10,073
wakuu heshima zenu!
naombeni ushauri wenu. ndugu yangu kakwaa division four poinnt 18 akiwa na ESF ya PCB.
swali : je anaweza kusomea diploma ya udaktari? yeye mwenyewe anapenda kusomea muhimbili. je itawezekana kuchaguliwa kwa score hizi ?
je kuna vyuo vingine ambavyo vinaweza kumkubali ?
 
ndugu yako wapi mkuu sema mimi.bisha!
 
point 18 ukasome udaktari gani?unataka uje utupasue kichwa badala ya mguu?afya ya binadam c km ya mbweha.kasomee kutibu mbweha.
 
Ajaribu tu anaweza kupata japo ushindani ni mkubwa sana.aende wizara ya afya atapewa maelekezo yote au afungue website ya wizara.muhimbili wanatoa diploma ya nursing na sio clinical officer
 
Ajaribu tu anaweza kupata japo ushindani ni mkubwa sana.aende wizara ya afya atapewa maelekezo yote au afungue website ya wizara.muhimbili wanatoa diploma ya nursing na sio clinical officer

nashukuru sana ndugu yangu !!! mawazo mazuri sana! i will work on them!
 
kwa kuwa nia yake ni kuwa daktari aanze apige kwanza clinical officer halafu ataunga mbele kwa mbele.
 
Kama A'level ana F ya Biology hawezi,its better atumie cheti cha O'level kama ana credit ya Biology atapata nursing,zaidi atembelee wizara ya afya kama walivyoshauri wadau.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
anaweza aende wizarani kupata details zaidi sema awe ameosha O LEVEL SI AWE AMEINGIA KWA CREDIT TATU A LEVEL
 
Back
Top Bottom