Kwa matokeo haya ya f6, ni wazi muungano hatarini

Waambie wale ufuta kwa wingi unasaidia ku-activate ubongo!!

Sisi hapa Mara na kanda ya ziwa tunakula minuso inayoweka vichwa na akili zetu active hata mtu akifa anaenda mbinguni/kuzimu na akili za kutosha!!

Vilevile wakumbushe umuhimu wa elimu kwani mafunzo ya dini zetu yasipite umuhimu wa elimu, maandiko yanasema 'mkamate sana elimu usimwache aende zake!!

Vyakula kama urojo si vizuri kwa maendeleo ya mtoto darasani!!

Haha, Umeua muraa! Kanda ya ziwa tunameza ma protein ya kufa mtu, na menyu nzito nzito mbongo zinakuwa active na zinakakamaa, so class ni kuteleza tu!! Ukimeza urojo jiandae kuwa na akili kama minyoo!
 
Licha ya Zanzibar kujikwamua kilemu. Lkn inaonekana kuna kikwazo kikubwa huko mbele

Matokeo ya kidato 4 na kidato cha 6 ni wazi ni moja ya kikwazo kikubwa cha elimu Zanzibar

Kwanini Baraza la mitihani la Zanzibar likitunga mitihani, asilimia 80 ya wanafunzi hufanya vizuri?
Kwanini Wazanzibar wakiwa nje ya Muungano, matokeo na maendeleo ya Elimu kwa mtu mmoja hupanda?
kwanini wanafunzi wa NACTE hufanya vizuri?

matokeo ya mwaka huu ni wazi kwa Znz yanaweza kuleta majdala mkubwa
1)Shule ya Lumumba ilikuwa ni moja ya Moyo wa Elimu Zanzibar. NECTA Wamepeleka maafa. wajanja wanasema. ukitaka kumpiga adui mpige kwenye moyo.
2)Shule ya Benbela yeny vipaji maalum nako NECTA wamepiga kofi kubwa
3)Shule ya Biashara ambayo ni moja ya nguzo ya Elimu Zanzibar NECTA inayo imeiamliza kisaokolojia

F4 zanzibar walipigwa W eti wamekopia
F6 baada ya malalamiko ya F4, wameona wapeleke F badala ya Kuwafutia
Pamoja na ku-edit kote huko bado hujaeleweka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom