Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

Ndio plan yenu kuwa discredit viongozi wa upinzani waonekane hawana maana?

Mpango wenu mliupanga vizuri sana. Picha imeanza Mbowe kashindwa uchaguzi ili wengine wakishindwa nao wakae kimya maana mwenyekiti mwenyewe katolewa. Shame!
 
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
Mbowe anasubiri nini? Chama kometoka wabunge 200 hadi kubaki mmoja!
 
Back
Top Bottom