Kwa matokeo haya, umaarufu uko wapi?

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Wakati juzi trh 2.10.2011 ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Igunga, vile vile kulikuwa na chaguzi 22 za madiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbali mbali.

Katika uchaguzi wa Igunga , sina la kusema kwani kila mmoja wet anajua kilichofanywa na CCM dhidi ya jeshi zima CDM na wakiwa na silaha zote ili hali wenzao CCM walipeleka jeshi dogo ila lililotumia mbinu na akili nyingi.

Na jeshi bora si lile lenye uwingi wa watu bali lenye kutumia akili nyingi na mbinu (strategy ) zilizo kwenda shule. Katika matokeo ya udiwani CCM kilishinda kata 17 zikiwamo zile ambazo kuna ngome ya CCM kama tarime, rorya na moshi, ambapo chadema kiliambulia 5 tu pamoja na kutumia viongozi wao mbali mbali wa kitaifa km Lissu, Mbowe, Zitto kuwapigia chepuo wagombea wao.


My take :

Kama hali iko ni hivi basi ile falsafa ya cdm ya nguvu ya umma imeanza kuishiwa nguvu, kwani umaarufu wao umeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
 
Kumbe hata kwingine walipiga puuu.

Poleni sana magwanda. Mchezo umekwisha.
 
Hakuna asiyejua kwamba CCM saiv inapumulia mashine kisiasa. Falsafa ya kujivua gamba imeshindwa kuwasafisha na badala yake inatishia kuwatoa madarakani. Pamoja na CCM 'kutangazwa washindi' Igunga, nawapa hongera CDM kwa kura ilizopata.
CCM saiv mnakabiliwa na maamuzi magumu ya kufanya kujisafisha na kutafuta support kwa wananchi kabla ya 2015. Mmeuona mziki wa CDM Igunga na hamtothubutu kuendelea na falsafa yenu ya kujivua gamba, kwa kuwa mnajua itawamaliza wenyewe.
 
crap as usual

Hali ni mbaya ndani CDM kwa taarifa zilizopo viongozi wamesambaratika katika group 2, ambapo Group la Zitto lenyewe linasema wazi matokeo yale ni halali wajipange upya, ila lingine wanasema wanaenda mahakamani hapo sasa kazi kwenu cdm ndio gharama za kushindwa hizo
 
Hakuna asiyejua kwamba CCM saiv inapumulia mashine kisiasa. Falsafa ya kujivua gamba imeshindwa kuwasafisha na badala yake inatishia kuwatoa madarakani. Pamoja na CCM 'kutangazwa washindi' Igunga, nawapa hongera CDM kwa kura ilizopata.
CCM saiv mnakabiliwa na maamuzi magumu ya kufanya kujisafisha na kutafuta support kwa wananchi kabla ya 2015. Mmeuona mziki wa CDM Igunga na hamtothubutu kuendelea na falsafa yenu ya kujivua gamba, kwa kuwa mnajua itawamaliza wenyewe.

Kama jamaa wameisha anza bna kubomoa ngome zenu za rorya, tarime , moshi mnakazi nzito siyo rahisi km mfikiriavyo !
 
Kama huwezi kuona kura za Igunga zinaonyesha jinsi gani umaarufu wa Chadema unaongezeka, nina shaka na uwezo wako wa kujua mambo.
 
Kumbe hata kwingine walipiga puuu.

Poleni sana magwanda. Mchezo umekwisha.

Jamaa wamesambaratishwa vibaya, leo hata gazeti lao la tanzania daima limewatosa kuandika habari zile za kishabiki kwani mambo ni magumu. Mbowe afutwe kazi ameshindwa kukiongoza chama mpaka wanapata aibu hii ya matokeo ya ubunge + madiwani
 
Kama huwezi kuona kura za Igunga zinaonyesha jinsi gani umaarufu wa Chadema unaongezeka, nina shaka na uwezo wako wa kujua mambo.

Tulikuwa tunapiga hesabu za haraka haraka kwa gharama mlizo tumia Igunga za Tshs 1.345bn zingetosha kujenga ofisi vijijini zipatazo zaidi ya 300. Sasa si bora mngekuwa mwaelekeza hizo pesa huko kuliko kuzipoteza km hivi na hamkupata kitu ? jifunzeni acheni ubishi magwanda nyie !
 
Kama jamaa wameisha anza bna kubomoa ngome zenu za rorya, tarime , moshi mnakazi nzito siyo rahisi km mfikiriavyo !

Unaongea kama umekunywa maji ya chooni nakusaidiakuelewa kama ifuatavyo
Rorya haikuwahi kuwa ngome ya Chadema. Ili watu walichagua NCCR kwa kuwa wamechoka na CCM hata sasa kata hiyo waliyo shida CCM ni kazi ya hongo.

Mbunge wa Rorya ana maslahi binafsi so anatumia pesa kuwarubuni wajinga. Tarime unayo ongelea si penye ngome ya Chadema. Kumbumba hata Igunga ni ngome ya CCM lakini angalia hata hesabu zinawashinda Tume kwa uwazi so acha kujifriji.

Moshi pia wao CCM na kiti hicho kilikuwa kinashikiliwa na CCM wamekirudisha sawa sawa na Rorya na Tarime huko nje ya mji na si mjini. Nadhani sasa utaelewa badala ya kuongea utombo mapema kama vile umetoka kunywa supu ya utumbo .
 
Unaongea kama umekunywa maji ya chooni nakusaidiakuelewa kama ifuatavyo
Rorya haikuwahi kuwa ngome ya Chadema.Il watu walichagua NCCR kwa kuwa wamechoka na CCM hata sasa kata hiyo waliyo shida CCM ni kazi ya hongo .Mbung wa Rorya ana maslahi binafsi so anatumia pesa kuwarubuni wajinga.

Tarime unayo ongelea si penye ngome ya Chadema .Kumbumba hata Igunga ni ngome ya CCM lakini angalia hta hesabu zinawashinda Tume kwa uwazi so acha kujifriji.

Moshi pia wao CCM na kiti hicho kilikuwa kinashikiliwa na CCM wamekirudisha sawa sawa na Rorya na Tarime huko nje ya mji na si mjini .Nadhani sasa utaelewa badala ya kuongea utombo mapema kama vile umetoka kunywa supu ya utumbo .

Umemaliza kulia ? kwani cdm wote mko msibani mnalia mnalia km watoto wadogo, kisa eti CCM baba yenu amewanyima chakula jimboni. Yote kwa yote , nyie pia si mliweka mgombea na kutumia viongozi wenu wa kitaifa wote, mbona sasa hamkupata kitu?. Kwa kata hizo 22 za udiwani CCM imeshinda kwa 77%, ww km mwana cdm unajisikia uchungu kiasi gani kuona chama cha ccm bado kinakubalika kiasi hiki. Nyie Tshs 1.345 bn mlizo tumia Igunga mbona hazikuwasaidia chochote? Tatizo lenu nguvu nyingi akili chache, ndipo ccm wanapowazidia hapo tu.
 
Wakati juzi trh 2.10.2011 ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Igunga, vile vile kulikuwa na chaguzi 22 za madiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbali mbali. Katika uchaguzi wa Igunga , sina la kusema kwani kila mmoja wet anajua kilichofanywa na CCM dhidi ya jeshi zima CDM na wakiwa na silaha zote ili hali wenzao CCM walipeleka jeshi dogo ila lililotumia mbinu na akili nyingi. Na jeshi bora si lile lenye uwingi wa watu bali lenye kutumia akili nyingi na mbinu (strategy ) zilizo kwenda shule.

Katika matokeo ya udiwani CCM kilishinda kata 17 zikiwamo zile ambazo kuna ngome ya CCM kama tarime, rorya na moshi, ambapo chadema kiliambulia 5 tu pamoja na kutumia viongozi wao mbali mbali wa kitaifa km Lissu, Mbowe, Zitto kuwapigia chepuo wagombea wao.
My take : kama hali iko ni hivi basi ile falsafa ya cdm ya nguvu ya umma imeanza kuishiwa nguvu, kwani umaarufu wao umeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.



As you already said. your take. so sweat not for we have our take as well.
 
mbinu za kisasa za kutumia udini na umafia wa kuchoma nyumba za viongozi wenu ili msingizie chadema.....plus kuiba kura..stupid
 
mbinu za kisasa za kutumia udini na umafia wa kuchoma nyumba za viongozi wenu ili msingizie chadema.....plus kuiba kura..stupid

Hayo ni maneno yenu siku zote tumeisha yazoea, tatizo lenu nguvu nyingi akili chache ndio maana jeshi lenu linashidwa !
 
Back
Top Bottom