GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Wakati juzi trh 2.10.2011 ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Igunga, vile vile kulikuwa na chaguzi 22 za madiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbali mbali.
Katika uchaguzi wa Igunga , sina la kusema kwani kila mmoja wet anajua kilichofanywa na CCM dhidi ya jeshi zima CDM na wakiwa na silaha zote ili hali wenzao CCM walipeleka jeshi dogo ila lililotumia mbinu na akili nyingi.
Na jeshi bora si lile lenye uwingi wa watu bali lenye kutumia akili nyingi na mbinu (strategy ) zilizo kwenda shule. Katika matokeo ya udiwani CCM kilishinda kata 17 zikiwamo zile ambazo kuna ngome ya CCM kama tarime, rorya na moshi, ambapo chadema kiliambulia 5 tu pamoja na kutumia viongozi wao mbali mbali wa kitaifa km Lissu, Mbowe, Zitto kuwapigia chepuo wagombea wao.
My take :
Kama hali iko ni hivi basi ile falsafa ya cdm ya nguvu ya umma imeanza kuishiwa nguvu, kwani umaarufu wao umeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.