Kwa matokeo haya tujiandae CCM kubadilisha katiba bungeni ili Magufuli atawale milele

Japhet92

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
206
301
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
 
Tena muanze leo, ili mpate mtawala wa milele
 
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.

Ndivyo itakavyokuwa
 
Punguza pressure mkuu..
Achana na hofu juu ya vitu vya kusadikika Bali sasahivi inatakiwa uanze kuweka mikakati za kujenga na kuimalisha chama chako.
 
Hili si jambo la kushangilia ni hatari sana kama taifa sote tutaangamia! huyu mtu alivyo na roho ya korosho tujiandae tu maana atatupeleka vile anavyo taka.
 
hakuna jambo la milele. ATAKUFA siku moja.
If there are Elijah in this country who can pray and make that possible the afterward drama would be the best to experience otherwise Tanzania is yet to see whatever.
 
Tutarajie yafuatayo
jiwe kuuwa watu zaidi,
kujitukuza,
watu wengi kulamba viatu vyake,
biashara za watu kupotea kabisa,
tozo za harusi na send-off kuanzishwa,
na CCM ngazi ya mtaa kugeuka miungu watu.
 
Mi nlitaka atawale tuu kiboko ya Wazungu kwa hili mi nimempenda Sana Dingi angu.

No shobo na Wazungu hakuna kwenda kwao wala Serikali yake hakuna kwenda.

Na huu ndo mfumo mzurii atawale tuu ili tuone Wazungu wanapumulia Wapii
 
Back
Top Bottom