Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.
Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.