Kwa matokeo haya, serikali inaweza kunichagulia chuo?

Elia shabani

New Member
Jan 18, 2022
3
3
Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26
Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj
  • Civic-C
  • History-C
  • Geogr-D
  • Mathe-f
  • English-D
  • Kisw-C
  • Bios-D
Hapo jamani serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe. Naombeni msaada wakubwa.
 
Hapo jamani serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe..Naombeni msaada wakubwa.
Apo kwani 5 haendi
 
Kozi gani ??
 
Kwhyo bro ananizingua tu
Ukipenda kwenda advance inawezekana kwa shule za private kwakuwa wanahitaji credits tatu nakuendelea na wewe unazo credit 3.

Pia unaweza kupangiwa chuo moja kwa moja vuta subira ila mara nyingi ni vyuo vya ualimu.

Wapo ninaowafahamu wenye ufaulu huo walipangiwa vyuo mbalimbali.
 
Vyuo vya Ualimu ni division I hadi III huyu ana IV haruhusiwi kusomea Ualimu.
Ukipenda kwenda advance inawezekana kwa shule za private kwakuwa wanahitaji credits tatu nakuendelea na wewe unazo credit 3.

Pia unaweza kupangiwa chuo moja kwa moja vuta subira ila mara nyingi ni vyuo vya ualimu.

Wapo ninaowafahamu wenye ufaulu huo walipangiwa vyuo mbalimbali.
 
Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26
Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj
  • Civic-C
  • History-C
  • Geogr-D
  • Mathe-f
  • English-D
  • Kisw-C
  • Bios-D
Hapo jamani serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe. Naombeni msaada wakubwa.
Nakushauri somea vyuo vya ufundi kwa kitu ukipendacho na chenye uhitaji ili ukitoka hapo uwe na stadi za kutafuta pesa moja kwa moja...(vyuo vya don bosco viko poa sana au veta)
Kama ufundi unaona moyo mzito kasome mass communication.

ACHANA NA HABARI ZA ADVANCED LEVEL TRUST ME UNAENDA KUITUPA MIAKA MIWILI MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKO
 
Serikali huwa inapangia vyuo na shule kwa wale waliopata div 1 had 3.

Ukishapata div 4 sio rahisi kupangiwa na serikali.

Kimsingi una vigezo vizuri vya ku join chuo. Sasa basi, ikiwa mfuko unaruhusu, chagua kozi uipendayo na unayokidhi vigezo katika chuo chochote then fanya maombi.

Naamini utapata.

Achana na mambo ya Advanced level.

SUKAH
 
Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26
Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj
  • Civic-C
  • History-C
  • Geogr-D
  • Mathe-f
  • English-D
  • Kisw-C
  • Bios-D
Hapo jamani serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe. Naombeni msaada wakubwa.
Online IT training www.tzcodeacademy.com kama unaelewa upesi practical kuliko theory. Watu wengi hawana maks za ufaulu mkubwa kwa sababu hawaelewi vizuri theory.
Kuna tofauti za uelewa:
1. Theory
2. Practical
3. Visual
4. Audio
5. Etc.
Kuna siku nitaandika Uzi kuelezea jinsi uelewa ulivyo tofauti kwa watu na watu.

Watu wengine wapo vizuri kuelewa visual, Ila theory na practical sivyo. Wengine theory wanaeleaa vizuri, Ila practical na visually ikawa sio. Pia wengine wapo fresh practical Ila theory na visual sio kabisa. Similarly to audio: watu wengine wakisikia kitu, they can narrate word to word without missing a thing.
Ni vizuri watu wafaham uelewa binafsi, Ili wa focus na style Gani wanapata ujuzi/skills mbali mbali.

Hii comment ntaiandikia Uzi nikipata muda!

Much success to you
 
Serikali huwa inapangia vyuo na shule kwa wale waliopata div 1 had 3.

Ukishapata div 4 sio rahisi kupangiwa na serikali.

Kimsingi una vigezo vizuri vya ku join chuo. Sasa basi, ikiwa mfuko unaruhusu, chagua kozi uipendayo na unayokidhi vigezo katika chuo chochote then fanya maombi.

Naamini utapata.

Achana na mambo ya Advanced level.

SUKAH
Div IV anapata vyuo vya uhasibu ,nawajua wana kibao walichaguliwa TIA
 
Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26
Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj
  • Civic-C
  • History-C
  • Geogr-D
  • Mathe-f
  • English-D
  • Kisw-C
  • Bios-D
Hapo jamani serikali inawez nichaguilia chuo au mbk ni apply mwenyewe. Naombeni msaada wakubwa.
Serikali wanapangia wanafunzi wenye ufaulu wa DIVISION 1 hadi 3 tu (VYUO & KIDATO CHA TANO) ila kwa wenye DIVISION 4 pamoja na 0 hawapangiwi bali wanajitafutia vyuo na shule za kujiendeleza wenyewe. Tafuta chuo ujiendeleze pia. Asante
 
Back
Top Bottom