Kwa matokeo haya nitaweza kusoma PGM kama private candidate?

Geog ina notes nying kuliko chemistry kwani yapo mambo ambayo unaitaji kujua gormula na concept kwenye chemistry eg general or physical chemistry
Lakini sikushauri uchague combination kwa kuangalia kiasi cha notes bali kwa kuanfalia future yako, maono yako
(Uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri)
Ni kwel
 
Math=>D
Geog=>D..
Kwa matokeo haya usithubutu kusoma PGM. kwanza PGM haina future kwa nchi yetu. itakutia vidole. Kasome PCB private School ili upate access ya practical. Ukiifaulu PCB unaweza kusoma Pharmacy, Medical Doctor au hata nursing na nyinginezo. usisome kama private candidate isije nayo ikakutia vidole.
 
kumbe mlikuwa mnasumbua humu mlikuwa mnangoja matokeo! subiri dogo wenye uzoefu wakupe. Ila private imekaa vema PCB.
 
usikomalie kufanya pepa ya PC,bora uende VETA gharama zao ni nafuu na unaweza kuanza kupata kipato ukiwa unasoma,watu wana zarau veta lakini nakuhakikishia itakutoa kwenye umasikini mapema na utaweza kufikia malengo yako ya kufikia level ya degree in engineering,tembelea website ya veta-kipawa ina kozi nzuri sana za engineering halafu wapo full equipped kwa practicals, kuna level 1,2 na 3 ukimaliza hizi utakuwa umeshaweza kujiajiri bila wasiwasi na ukitaka kuendelea mbele kutoka hapo utaweza
 
Kwanza nikupe hongera kijana kwa kuwa hujakata tamaa pili mungu akufanikishe na akupe haja ya moyo wako aiseeh!
 
Kwa matokeo haya usithubutu kusoma PGM. kwanza PGM haina future kwa nchi yetu. itakutia vidole. Kasome PCB private School ili upate access ya practical. Ukiifaulu PCB unaweza kusoma Pharmacy, Medical Doctor au hata nursing na nyinginezo. usisome kama private candidate isije nayo ikakutia vidole.
Na wewe ni wale wale!!

PGM hawezi kusoma engineering au umekariri pgm ni ya marubani?
 
Na wewe ni wale wale!!

PGM hawezi kusoma engineering au umekariri pgm ni ya marubani?
Unafikiri Engeneering wanaenda Div IV? Waulize watu PGM then uje hapa na majibu. PC hawezi kutoboa Physics na Advancved Maths, sanasana ataishia kupata S na E.
 
Somo kuwa rahisi au gumu ni uelewa wako binafsi
Fuata malengo yako achan n maelezo ya awali uliyosikia kwa watu

Geography navosikia japo sjaisoma hiyo
Necta unaandika essay 5

We unafikiri hadi extent ya essay tano notes ni kiasi gani

Biology & chem
Ambazo we unaona uvivu kisa prac

Yawezekana prac ni kimbilio kwa wengi

Evidence mi nimesoma PCB kisa naju prac ni mkombozi

Maintain your carrier nothing simple without hard work
 
Back
Top Bottom