Kwa matokeo haya naweza kusoma diploma?

ramaah123

New Member
Feb 27, 2017
4
1
Hivi kwa matokeo haya naweza soma diploma
Kisw c Engl c
Basic f civics C
Geog D Hist D
Bios D
 
hii ni dalili kabisa selection za form 5 zinachuja mchujo mkali sana kama hapo sijuh kama utapa selection wanataka upate c flat katika combination yako wahi private diploma gpa ya 3 jiandae kisaikology....
 
Back
Top Bottom