Kwa matokeo haya anaweza kupata medicine?

Hila angekuwa na C ya biology au juu ya apo ingekuwa possibility kupata hila D hiyo ina mwangusha MD siku hizi competition sana haijalishi private au government universities.
 
Kwa matokeo haya anaweza kupata medicine?

Division one ya 9

G/STUDIES - 'D' PHYSICS - 'B' CHEMISTRY - 'C' BIOLOGY - 'D' BAM - 'C'
Yes unapata Hurbert Kairuki 7M ada,Pia Kcmc kwa connection unaingia ninamwanangu Hapo aliopata hvyo last year yupo hapo
 
Huu utaratibu wa kila aliesoma PCB kufikiria fani ya kipaumbele kusoma ni Medicine TU.

Inabidi ifikie mahali ufe
Hawajui kuhusu Pharmacy halafu Wakija Chuoni kama Muhas wanajuta kwa nn hawakuenda
 
Back
Top Bottom