Kwa matatizo ya gari

Asante kw maswali,
Gari yenyewe ni full time four wheel. Yaonekana transmission/gearbox yako yataka attention ASAP.
Mkuu nina kluger ambayo nimeimiliki kwa miezi michache, nina maswali yafuatayo:
(i) Imeandikwa huko nyuma 3.0 FOUR, ina axles 2, je hiyo ina maana ni four wheel drive muda wote?, haina mahali pa kuingizia four wheel drive, japo kwenye utelezi huwa linapita tu bila shida wakati wengine wanapita kwa shida...

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
 
Styvo254 Gari yangu RAV4 - kill time nikisimama hasa kwenye folen inatetemeka bodi lote nikitembea inatulia, nikiwasha AC inatetemeka zaidi, nikiweka parking inapunguza mtetemo. shida inaweza kuwa nini? naweza pata mtaaalamu? maana nishaonana na mafundi wengi lakini haiponi.
Unatumia engine mountings genuine?

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
 
Ndio sababu tunasisitiziwa Genuine Parts; mpya au pia used in good condition
mkuu unaposema mpya ni za dukani au used? nami zilikata mbili nikanunua mpya dukani kufunga gari ilikuwa inatetema na body nikatoa nikatafuta used za Japan ikatulia.

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
 
Vipi kaka,
Pole kw masaibu. Lazima isomwe Fault Codes na machine ili kutambua tatizo lipo wapi.
Kiongozi...Nina Toyota Voltz WD with automatic transmission, ilikuwa na leakage kwenye mfuniko wa Engine Kwa juu. Fundi ameziba leakage. Baada ya kuziba leakage ameenda kusafisha Kwa kutumia pressure water...From that gari ukiwasha inawasha taa ya check engine...Pia muda mwingine inazima kabisa ikiwa kwenye gia na taa ya check Engine inawaka Msaada Kiongozi. Thanks.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
 
Basi inabidi engine ikaguliwe kama ndio yenye vibrations au ni body ndio ina udhaifu - labda baada ya ajali au bodywork hivi.

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Kila kitu kishakaguliwa na hakuna shida. Ila kwenye kuendesha ndio tatizo linaonekana.
 
Wapi naweza kuiangalia gari yangu matatizo yake kwa kutumia computer sijui diagnostic,
Nissan xtrail 2005, na utagharimu kiasi gani, maana nahisi iko na shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nina passo cc 990, nikiwasha ac kinakula 10km/l , nisipowasha ni 15km/l , nahisi inakula mafuta , je hii ni kawaida kwa garibya cc hizo , maana naitumia kibiashara sasa inaleta faida ndogo
 
Ndugu Styvo254 Hongera kwa Elimu unayotupatia. Ningependa Kufahamu kuhusiana na Gari hili Toyota Crown Majesta Uzao wa Nne kati ya Mwaka 2004 mpaka 2009 yenye Injini ya 3UZS./ Moja Upatikanaji wa Spea party Zake

Pili Teknolojia iliyotumika katika Mfumo wake wa Injini japo nimeona ni VVT-I. Lakini Pia Ningependa Kufahamu Technical problem ya Injini hizo ya 3UZS-FE. Na Pia Mfumo wa gearbox yake ambayo ni CVT na Matumizi ya Cruising Control

Kwa sasa ni hayo
 
nina passo cc 990, nikiwasha ac kinakula 10km/l , nisipowasha ni 15km/l , nahisi inakula mafuta , je hii ni kawaida kwa garibya cc hizo , maana naitumia kibiashara sasa inaleta faida ndogo
duh ndugu yangu sidhani kama kutakuwa kuna tatizo hapo si unajua kwanza kama ukiwasha AC unaongeza load kwenye engine so ni lazima matumizi ya mafuta yaongezeke na kama ni gari ya biashara maana yake utakuwa umepakiza abira labda wawili au watatu pamoja na AC ukizingatia hiyo ni passo kana engine ndogo sana bila shaka itakuwa na mzigo mkubwa inaweza kupelekea consumption ya namna hiyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kaka
Toyota Crown ni muundo wa gari la daraja la juu yaani la kifahari. Ni muundo unaolenga soko la magari kama Mercedes E class na BMW 5 series. Engine zake ni za lita zisizopungua mbili unusu au tatu, kutegemea na toleo.

Kama magari mengine ya kisasa, gari hili udai matunzo kw mda maalum, ufundi wa uhakika, spare parts zinazofaa na matumizi ya adabu. Gearbox yake ni ya kuaminika; hakikisha unatumia mafuta ya CVT na sio ATF za kawaida na itakupatia service murua.
Ndugu Styvo254 Hongera kwa Elimu unayotupatia....

Asante sana Kwa Ufafanuzi wako kidogo na Je vp Kuhusiana na hio injini yake ni CC4300 ambayo ni VVT-I
 
MKUU Nina passo inagonga sana taili za mbele kwenye rough road nimebadirisha ball joint na shorkup wapi tatizo linaendelea utakuwa tatizo ni nini?

Jamaa yangu alinunua ist kutoka kwa mtu hapa hapa bongo. Ukikaa seat ya mbele afu kwenye rough road yenye vichangarawe hivi, duuh tairi za mbele zinagonga mnoo kiasi kwamba dashboard yote inatetema utadhani gari lilozeeka! Anasema barabara ikiwa rough zaidi, mpaka na sterling huisikia ikigonga gonga.

Cha ajabu, akidrive high speed kwenye lami ambayo ni smooth sana, gari kimyaaa safi kabisa.

Akiingia rough road au lami isiyo smooth, doooh ile gari mpaka dashboard limeanza kulegea! Muonekano wa body, gari bado ipo mayai.

Mkuu Marunde , ulifanikiwa kuondosha tatizo hilo?

-Kaveli-
 
Mkuu naomba msaada wa Engine oil nzuri kwa Nissan Murano ambayo tayari ina 150k km+. Nasikia kila kilometre zinavyosogea oil hubadilika. Je ni sawa?
 
Back
Top Bottom