mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,979
Youtube kuna jamaa mtaalama wa magari niliona anabadilisha 2wd kua 4wd,hio inawezekana mkuu kwa hapa bongo?Mkuu kama nimekuelewa basi hilo swala ni gumu sanaaa aachane nalo nigum sana garama zake ni bora akanunua gari yenye mfumo huo wa hybrid..
Lkn kama unamaanisha kubadili gari ya hybrid na kuwa ya kawaida basi inawezekana 100% mm binafsi nishafanya sana na juzi tuu nimefanya kwenye estima akitaka nitampa bajeti na vitu vyote vinavyotakiwa kikubwa cha kununua ni gearbox vingine kwenye engine ni vidogo dogo sana..na wiring unatumia ile ile ya hybrid mambo yanakuwa mswano