Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

princes

Member
Sep 10, 2008
29
5
1593761481504.png


BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Ndugu yangu amepata matatizo haya

1- Lips na ile nyama ya kinywa inakuwa nyekundu haina weupe ila ni nyekundu kama mtu aliyeungua na chai mdomoni.

2- Kijana wa kazi ana tatizo la kuwa na utando mweupe kwenye kona za lips na mdomo kuwa mwekundu.

Naomba msaada wafanye nini?
---
Tatizo hili limemkumba hivi karibuni, mara ya kwanza nilijua ni mabadikiko ya hali ya hewa kama upepo mkali, na jua kuwa kali zaidi.

Nikawa napaka nafuta ila kuna muda nilikuwa naona unaludi kuwa kawaida, nilipo waona watalaam (daktari) waliniuliza kama natumia vilevi vikali, au kunyonya sehemu za siri za Mwanamke.

Vyote ni vitu ambavyo sijawahi fanya katika maisha yangu, kwanza niliumia sana dakatari alipokuwa akiniuliza .

Jamaani kama kuna mtu anajua tiba au aliwahi tibiwa. Au ana utalam wa mambo ya kiafya kama yupo humu naomba ushauri nitumie nini ile nipone.

Hali hii inaninyia amani kabisa, nitafurahi kwa ushauri wako na Mungu akubariki.
---
Wana JF Habari zenu,

Naombeni ushauri wenu, mdomo wa chini (Lower Lips) inapoonekana kuwa nyekundu ni dalili au upungufu wa nini?

Tiba yake ni nini?

Ahsanteni wapendwa.
---
Jabari zenu wadau,

Niña tatizo la kuwa na lips nyekundu kwene mdomo na mundanas sasa niña miezi minne na nimeenda kwa Dr na nimepima hakuna kitu so nikashauriwa nitumie b complex na matunda.

Mpaka sasa sioni mabadiliko so jamani kwa mdr wa humu jf naombeni msaada.

Thanks in advance.
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Mouth Redness

Redness around the mouth is a common symptom of infection or injury, or it could be a sign of an underlying condition of another part of the body. Mouth redness may be caused by pathogens, such as bacteria, viruses and fungi, which inflame the mucous membranes of the mouth. It may occur in conditions affecting parts of the mouth, such as the lips, tongue or gums, or in association with more generalized conditions, such as human immunodeficiency virus/acquired immunodeficiency syndrome (HIV/AIDS) or leukemia. Only in rare situations does mouth redness result in a serious or life-threatening situation.

Cold sores, or “fever blisters,” that surface on the skin around the mouth result from the herpes simplex virus. Blisters within the mouth may be a sign of hand-foot-and-mouth disease (HFMD), which can be caused by several types of viruses. Fungal infections, such as candida, may also cause mouth redness. Depending on the cause, redness may occur only in one area or it may affect the entire mouth.

Trauma caused by excessive teeth brushing can lead to redness of the mouth, which may damage the gums and cause inflammation, swelling, or canker sores. Ill-fitting dentures may also cause sores and mouth redness. Any type of trauma to the mouth, lips or tongue can result in mouth redness as a result of inflammation and swelling around the site of injury.

Mouth redness is rarely associated with a medical emergency. Seek immediate medical care (call 911) if your redness is associated with bleeding that cannot be stopped, pale skin or pallor, loss of teeth, high fever (higher than 101 degrees Fahrenheit),swelling in your lips or tongue, or difficulty breathing,

If your mouth redness is persistent or causes you concern, seek prompt medical care.

Symptoms
What other symptoms might occur with mouth redness?

Mouth redness may accompany other symptoms, which vary depending on the underlying disease, disorder or condition. Symptoms that frequently affect the mouth may also involve other body systems.

Infectious disease symptoms that may occur along with mouth redness.

Mouth redness may accompany other symptoms associated with different infections including:
  • Cracking at the corners of your mouth
  • Dry mouth
  • Fever
  • Loss of appetite
  • Malaise or lethargy
  • Painful, red blisters on the gums, tongue, and inside of the cheeks that may bleed
  • Pins-and-needles (prickling) sensation
  • Red, blistery rash on palms of the hands and soles of the feet
  • Redness, warmth or swelling
  • Small, painful skin blisters around the mouth
  • Sore throat
  • Sores that contain pus
  • Sores that resemble cottage cheese
  • Tenderness
  • Tingling or other unusual sensations

Trauma symptoms that may occur along with mouth redness

Mouth redness may accompany symptoms related to trauma including:
  • Bleeding gums
  • Bright red or red-purple gums
  • Gum tenderness
  • Loosening or loss of teeth
  • Mouth sores
  • Receding gums
  • Shiny gums
  • Swollen gums
Other symptoms that may occur along with mouth redness

Mouth redness may accompany symptoms related to underlying chronic disorders including:
  • Fatigue
  • Feeling very thirsty
  • General ill feeling
  • Headache
  • Pale skin or pallor
  • Slow-healing wounds or bruises
  • Soft spongy gums
  • Swollen lymph nodes
  • Weakness
Symptoms that might indicate a serious condition
Mouth redness alone is rarely a sign of a medical emergency. In some cases, however, mouth redness may occur with other symptoms that might indicate a serious or life-threatening condition that should be evaluated immediately in an emergency setting. Seek immediate medical care (call 911)if you, or someone you are with, have any of these life-threatening symptoms including:
  • Difficulty swallowing or breathing
  • High fever (higher than 101 degrees Fahrenheit)
  • Swelling of the lips or tongue
  • Trouble thinking clearly

Causes
What causes mouth redness?

Mouth redness results from inflammation due to infections caused by bacteria, viruses and fungi. Infections of the skin around the mouth, mucous membranes inside the mouth, gums, and tongue are common causes of mouth redness.

Trauma that causes damage to the lips, tongue, gums, and the inside of the mouth is also a common cause of mouth redness. Damage to the mouth can be the result of excessive teeth brushing or dentures that are not fitted properly. All of these cause inflammation, redness and ulcers. Mouth redness can also result from underlying conditions, such as scurvy (vitamin C deficiency) and leukemia.

Infectious causes of mouth redness

Mouth redness may be caused by infections including:
  • Bacterial infections
  • Candida (fungal infections)
  • Gingivitis (infection of the gums)
  • Hand-foot-and-mouth disease (HFMD)
  • Herpes simplex
  • Other viral infections
Traumatic causes of mouth redness

Mouth redness can also be caused by trauma including:
  • Excessive tooth brushing
  • Mouth appliances
  • Poorly fitting dentures
  • Repeated licking of the lips
  • Trauma to mouth and face

Serious or life-threatening causes of mouth redness

It is rare for mouth redness alone to be a symptom of a serious condition. However, in rare cases, mouth redness may be a symptom of a serious or life-threatening condition that should be evaluated immediately in an emergency setting. These include:
  • Anaphylactic shock
  • Human immunodeficiency virus/acquired immunodeficiency syndrome (HIV/AIDS)
  • Leukemia

Questions for diagnosing the cause of mouth redness
To diagnose your condition, your doctor or licensed health care practitioner will ask you several questions related to your mouth redness including:
  • Are you currently following a special diet or restricting specific food groups?
  • When did you first notice your mouth was red?
  • Have you had a recent injury to your mouth?
  • Are you experiencing pain in your mouth?
  • Do you have any other symptoms?
  • What have you done to relieve your symptoms?
  • What medications are you taking?

What are the potential complications of mouth redness?
Because mouth redness can be due to serious diseases, failure to seek treatment can result in serious complications and permanent damage. Once the underlying cause is diagnosed, it is important for you to follow the treatment plan that you and your health care professional design specifically for you to reduce the risk of potential complications including:
  • Difficulty chewing and swallowing
  • Loss of teeth
  • Serious infections
  • Spread of infection

BAADHI YA MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
vitamin C
anywe maziwa fresh
machungwa n nyama zake
mchicha/ mboga za majani bila kuunga
yani mchemsho tu na sio saana..

mimi ulinitokaga utandu enzi hizo
---
Mimi sio mtaalam sana ila nishawah kupata shida kama hiyo hospital nliambiwa hawana dawa ya kunipa isipokuwa ninywe maji mengi kweli ndani ya siku chache nlipona kabisa...may be hauna maji ya kutosha mwilini...

TRY THIS WATER THERAPY
---
Sa zingine mwili umekosa maji ya kutosha kwa hiyo unakuwa dehydrated as a result unapata cracked lips. Wakati mwingine ni hali ya hewa inaweza kuwa baridi sana unapata cracked lips. Wakati mwingine ni wewe tu hujui kujali midomo yako unapata cracked lipsa.

Hivyo ushauri uwe unakunywa maji mengi na kama unahisi midomo mikavu uawe unailamba mara kawa mara. Nunua lip care products zenye mafuta kama nivea au vaseline uwe unapak mara kwa mara.

Na usiku uendapo kulala upake vaseline asubuhi utaona midomo imeimprove
---
Si ugonjwa bal huenda ikawa ni dalili ya gonjwa fulan (infection disease) nenda kapme especially magonjwa yanayo ambukizwa kwa njia ya tendo LA ndoa.

- Kama huna moja ya magonjwa hayo basi automatically itakuwa kuna madini umepungukiwa mwilini.

- Tumia vdonge vya vitamins especially Vitamin c Mara kwa Mara havna doss km kula pipi vle mda wowote
 
Aisee looks like ni same person! Akapime, could be fungal infection! Ngoja wataalamu waje ila cha msingi, wether unaumwa kichwa au ukucha the first step is to go to the hospital!
 
Aksante wadau shida ni kwamba hospital wameenda wanapewa dawa za AMOXYLIN AU AMPICYLIN. Tatizo linajirudia so ndo mana naomba ushauri na mara nyingine suala la ukungu kwenyemdomo.

linawatokea watoto wote na amiba kujirudia rudia familia ni kubwa kidogo kama 12 people.so ni shida naomba sana ushauri wenu.
 
Hivi hili tatizo la mdomo kubabuka husababishwa na nini?? Yan mdomo especially lips ya chini inakuwa na mabaka flan hv??ni dalili ya ukimwi? Pombe kali? Au ukemwenhe
 
Sa zingine mwili umekosa maji ya kutosha kwa hiyo unakuwa dehydrated as a result unapata cracked lips. Wakati mwingine ni hali ya hewa inaweza kuwa baridi sana unapata cracked lips. Wakati mwingine ni wewe tu hujui kujali midomo yako unapata cracked lipsa.

Hivyo ushauri uwe unakunywa maji mengi na kama unahisi midomo mikavu uawe unailamba mara kawa mara. Nunua lip care products zenye mafuta kama nivea au vaseline uwe unapak mara kwa mara.

Na usiku uendapo kulala upake vaseline asubuhi utaona midomo imeimprove
 
Pia jaribu kuangalia je time table ya chakula bado iko poa kwamba unakula muda uliokuwa unakula mwanzo na je ni vyakula mchanganyiko vikiwamo vyakula vyenye mafuta au timetable imekuwa ya vyakula vikavu vya kusogeza mida tu kutokana na hali ya uchumi kubadilika mi nadhani na hili swala pia linaweza changia!
 
hivi hili tatizo l mdomo kubabuka husababishwa na nini?? Yan mdomo especially lips ya chini inakuwa na mabaka flan hv??ni dalili ya ukimwi?? Pombe kali?? Au ukemwenhe
tatiso hilo liliwai kunitoka kunywa maji na matunda kwa sanaaa
 
Habari zenu wadau,

Jamani nina kama miezi mitatu nasumbuliwa na tatizo la lips zangu kuwa nyekundu nimekwenda hospital na nimefanya vipimo vyote hakuna kitu so dr akanishauri nile sana machungwa ndo itakuwa tiba ila nimekula sana machungwa ila hakuna mabadiliko so jamani naamini humu kuna ma dr naombeni msaada wenu kama kuna tiba mbadala. Natanguliza shukrani kwenu.
 
Back
Top Bottom