• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kwa mara ya mwisho : Huduma zote za graphic design

Lazy Designer

Lazy Designer

Member
Joined
Feb 13, 2020
Messages
21
Points
45
Lazy Designer

Lazy Designer

Member
Joined Feb 13, 2020
21 45
Salam. Hii haitokuwa nyuzi ya kwanza humu jukwaani kuhusiana na graphic design ila itakuwa ya kwanza ya aina yake maana nimejitahidi kuelezea mambo yote muhimu.

Mimi ni Graphic Designer na ninatoa karibia huduma zote za Graphic Design kupitia jina la Lazy Designer. Madhumuni ya kuandaa huu uzi ni kuweza kuweka mazingira ya kufanya biashara na wanaJF, maana naamini huduma zangu ziko specific na ni nafuu.

Huduma Zangu ni Zipi?

Designs ambazo nimezipangia bei(fixed price) ni;
 • Logo
Bei: 25,000/=

Logo, Nembo ni ya muhimu kwa karibia kila aina ya mfanyabiashara, wamiliki wa makamuni, mashule, maduka, tovuti, chaneli, club na wengine kama wao. Kwa elfu ishirini na tano, unapata;
Logo katika color scheme tatu tofauti
Size kumi tofauti kwa ajili ya matumizi tofauti
Format tano na project file ina ambatanishwa.
 • Business Card
Bei: 15, 000/= (Ukiwa tayari na logo) na 35,000/=(Kama huna logo, na unahitaji iwe kwenye design)

Business card/ kadi ya biashara, ni ya muhimu katika kubadilishana mawasiliano na potential customers/ au partners in business. Ina kuwa na taarifa zako za msingi, kama Jina, Namba ya Simu, Barua Pepe, Unafanya Kazi wapi na Cheo chako.

Kwa bei husika unapata design tatu zinazoelekeana, na project file inayokupa uwezo wa kutengenezea wafanyakazi wote kwenye kampuni/biashara husika…kwa kuedit tu taarifa za msingi, ikiwemo Jina, Nambari ya SImu, Barua Pepe na Cheo. Format ya PDF inaambatanishwa kwa ajili ya printing.
 • Flyers
Bei:5,000/= (B5), 10,000/= (A4)

Vipeperushi, ni njia rahisi ya kuwafikia wanao-weza-kuwa-wateja. Kwa 10,000/- unapata;
Design moja nzuri yenye color scheme mbili tofauti
Project file husika. Inakuwa kwenye formart mbili za muhimu; PNG na PDF kwa ajili ya ku print.
 • Post Cards
Bei: 15,000/=

Tofauti kati ya Post Cards naFlyers ni kwamba Post Cards zinabandikwa. Utazikuta kwenye kuta, nguzo na sehemu nyingine kama hizo. Kwa 15,000/= unapata; Design kwenye color scheme mbili tofauti
Format tatu tofauti ikwemo PDF kwa ajili ya kuprint.
 • Brochures
Bei: 15,000/=

Bronchure ni karatasi inayokunjwa kiurahisi kuwa kama kakijitabu, sana sana zinatumiwa na mabank, na makampuni ila haimaanishi wao tu ndio wanayo haki ya kuzitumia. Kama unataka kuwafahamisha wateja wako kuhusu huduma nyingine wasizofahamu, unaweza tengenza bronchure na kuwapatia pale wanaponunua huduma au bidhaa zako. Kwa 15,000/= unapata;
Project file
Design ikiwa kwenye layout mbili tofauti
Format tatu ikiwemo PDFkwa ajili ya Printing.
 • Letter Heads, Certificates, Gift Cards
Bei: 20,000/=

Hizi, nadhani zinajielezea. Design inakuja na Project File, Layout Mbili na Format Mbili za Muhimu.
 • CV’s
Bei: 10,000/=

Template kwa ajili ya CV, iliyofanyiwa Layout Design na Palette Outlining. Inakuja na Project File ili uweze kuijaza + na Color Scheme mbili.
 • Packaging & Labels
Bei: * (Maongezi)

Packages zinatofautiana, ukubwa material, na total outloook, hivyo bei ninaweza kuiestimate kutokana na complexity/simplicity ya design husika.
 • Social Media Cover Art
Bei: 20,000/=

Hii inajumuisha Cover Art kwa ajili ya Major Social Media Networks(Kwa Page/Acc za Biashara) ; Facebook Business , Twitte For Businessr, Pinterest Business Whatsapp for Business(DP) na Instagram Business/Crreator’s Acc(DP). Huduma inakuja na design mbili kwa kila tovuti(katika format ya PNG, na project files.
 • Event Banners
Bei: 10,000/=

Hizi ni ndogo, na kikwetu kwetu tunaweza kuziita kadi za mwaliko. Kwa 10,000/= unapata design ya kuprint(PDF) na ya kutumia mtandaoni(PNG)

Unaweza order huduma moja moja au kuchukua ‘Design Bundle’ kati ya hiz (Kupata zaidi na kusave)i;
 • Branding Bundle
Hii inakuja na Logo, Business Card, Color Palette, Cover Art kwa ajili ya Social Media na Letter Head. Project Files Zinaambatanishwa.

Bei: 75,000/=​
 • Online Marketer Bundle
Hii inakuja na Logo, Favicon, Emblem, Cover Art kwa ajili ya Social Media. Project Files Zinaambatanishwa.

Bei : 50,000/=​
 • Small Manufacturer’s Bundle
Hii inakuja na Logo, Letterhead, Business card, Labels na Package Design.

Bei : 155,000/=​
 • OldSkul Marketer
Humu unapata Logo, Business Card(2 Designs), Flyer, Post Card, Letterhead(2 Designs) Bronchure na Custom Color Palette. Project file inaambatanishwa.

Bei: 120,000/=​

Kuchagua design moja moja kunakupa uhuru wa kupata design unazoona ni za muhimu kwako, na kuendana na budget yako(Badala ya mimi kukutoza mfano 120,000/= kukupatia design ambazo hata uhitaji.)

Mbali na hayo, natoa custom serivce/huduma maalumu zifuatazo;

Layout Design

Layout Design ni upangiliaji wa vitu mbali mbali kwenye ukara wa aina yeyote ule, ili kumrahisihia msomaji kuuperuzi kiurahisi. Hapa naongelea kitabu, gazeti au magazine.

Bei: 45,000/= - 95,000/=

Type Setting

Kuandika kitabu ni kazi, ila kumfanya mtu afuatilie uliyoandika kiurahisi, ni kazi nyingine, na hii ni kazi yangu. Upangiliaji wa maandishi kiujumla kwenye magazeti, vitabu na magazines.

Bei: 30,000/= -70,000/=

Book Cover Design

Vitabu vingi vya kitanzania vina cover za ajabu ajabu, kuepelekea kufanya vibaya katika mauzo. Kila kitabu kinahitaji jarida linaloweza kuelezea yaliyo ndani bila kusema mengi kivile. Ni kazi yangu pia.

Bei: 25,000/=

Custom Photo Editing

Kuedit picha. Kuedit picha kisasa zadi, siongelei mambo ya kuweka filter, au frame, au saturation; hapana. Naongelea kuedit picha, kwenyewe.

Bei: 4,000/= kwa picha moja.

Typography

Ubunifu wa maneno. Iwe kwenye T-Shirt, Kikombe, Shuka, au material yeyote ile.

Bei: 12,000/=

Title Credits Rolls

Tuongelee muvi kidogo. Wakati inaanza inaweza, kukwambia mengi bila hata kusema kitu…bajeti yake, inahusu nini, itakuwa ya kawaida kawaida au special. Hivyo Title Credits ni za muhimu, nina design hizo. Kwenye Comedy, Action, Horror na Thrillers. Drama?

Bei: 150,000/=

TUNAFANYAJE BIASHARA?

1. Unachagua huduma unayohitaji.

2. Ni PM au nitumie Email.

3. Kwenye PM au kwenye Email nitakuuliza maswali mawili matatu ili kuhakikisha natimiza malengo yako wakati nina design.( Ndani ya Dakika Tano )

4. Baada ya maswali, utatuma robo (1/4) ya gharama za huduma husika. (Hii ni kujenga uaminifu tu, kwa wateja wanaojirudia itakuwa ni nusu ya ghrama husika.)

5. Kazi itaanza rasmi, na unaweza ulizia progress via Whatsapp/Email/PM.

6. Nitaanda Design Mbili tofauti, kutokana na idea zako za mwanzo na wewe utanambia ni’refine design gani.

7. Ntarefine design husika, na kukutumia sample…(Itakuwa na ubora wa chini, na yenye Watermark.)

8.Utalipia robo tatu(1/3) iliyobaki, na hapo hapo, ntakutumia design yako ikiwa kwenye quality kamili na design tofauti.

*Process nzima tokea pale utakapo lipia ile robo ya kwanza, mpaka design kukamilika inaweza kuchukua siku tatu(3) hadi kumi na nne (14)kutokana na ugumu(complexity) wa design husika.

FAQ

Sijapata maswali yanayojirudia bado, nikiyapata nitayaweka hapa.

Ila…
 • Malipo ni kwa M-Pesa/Tigo Pesa.
 • Unaweza chukua Design Bundle au ukachagua huduma moja moja.
 • Kabla ya huduma unalipia robo ya gharama husika.
 • Bei/Gharama za huduma ziko kama zilivyo kutokana na nguvu, muda na vitendea kazi ninavyoweka ili kutimiza design husika.
Lazy Designer® ni jina la biashara. Haimaanishi niko Lazy.

© Lazy Designer 2020
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
719
Points
225
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
719 225
sujaelewa bei uliyoweka hapo juu ni ya design na sio production??????
 
spike

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
109
Points
195
spike

spike

Senior Member
Joined Jan 8, 2011
109 195

Lazy Designer ni jina la biashara. Haimaanishi niko Lazy.

NB: I’m Lazy Designer not a lazy designer. Lazy Designer 2020
Nime kuPM kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,404,186
Members 531,522
Posts 34,446,512
Top