Kwa mara ya kwanza, tumeonyeshwa jinsi Majengo marefu ya GTC yanavyofanana kutoka ndani

Bongo sisi sio watu wa matangazo kimya kimya Huku tukikamilisha mpango .

Daressalaam imeshapita Nairobi kwa Idadi ya skyscrapers
Wewe unaota mchana, dar has few buildings
20211002_111039.jpg
 
Bongo sisi sio watu wa matangazo kimya kimya Huku tukikamilisha mpango .

Daressalaam imeshapita Nairobi kwa Idadi ya skyscrapers
🤣🤣🤣 Huu mjadala tukiufunika ukawa hauongelewi Tena. Mwengine anataka tuuridie.
 
Daressalaam ni mega city Ina eneo kubwa kuliko Nairobi Katika majengo nk

Hata idadi ya wakazi imezidi Nairobi
Eneo kubwa only in terms of land mass and city boundary. Ile CBD yenu ni ndogo sana. Nairobi is twice densely populated than Dar.
 
Eneo kubwa only in terms of land mass and city boundary. Ile CBD yenu ni ndogo sana. Nairobi is twice densely populated than Dar.
Daressalaam cbd imegawanyika kuna city centre, kuna makumbusho to morocco, kuna mlimani area .
 
Back
Top Bottom