Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

30k kwa mwezi...

Nimeanza mwezi wa nne...
Kama ulianza mwezi wa nne na kwa views hizo maana yake ndani ya miezi miwili au 3 utapokea pesa.. ila komaa una chance ya kua na views nyingi zaidi ya hapo ..!!

Cha msingi achana na shortcuts Lengo liwe long term!!
 
Mkuu kiukweli mimi nina moto sana na hii kitu..! Ila changamoto ni kwenye video editing...! Ww ulijifunzia wapi ku edit videos?
 
Mkuu kiukweli mimi nina moto sana na hii kitu..! Ila changamoto ni kwenye video editing...! Ww ulijifunzia wapi ku edit videos?
Kuna mambo mengi mkuu, sio video editing kuna mpaka audio editing!

Sehemu ya kujifunzia ni youtube, kwa wenye uwezo huwa wanaajiri watu ila kwa sisi huwa unajikuta unafanya almost kitu peke yako!!
 
Kinachofwata hapo ni kuverify id na location!

Id tumia kitambulisho cha nida hakikisha umekipiga picha na kinaonekana vizuri.

Location fungua box posta then ili google wakutumia pin huko!
Ahsante sana...kwa process hii...
 
Pox ya posta unafunguaje
Unaenda ofisi za posta za eneo ulipo au unapotaka barua zako zipitie. Ukifika watakupa mwongozo, bei ni kati ya elfu 40 mpaka 50.

NB: Baada ya yote usisahau kuomba tax exemption for Non USA citizens
 
Back
Top Bottom