Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa ninavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
 
Sikuwahi kufikiri km kuna siku nngekua kwnye hii situation. Sio tabia nzuri lkn siezi kumuacha yoyote nawapenda wote they are all mine. Labda km mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naeza kuachana na mmoja lkn mimi mwnywe siezi. Mmoja nko nae kwa mahusiano mwaka 1 na miezi 5. Hyu kaka mwngine nko nae huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpk sometimes nahisi vbaya kwa nnavofanya lkn sjui nifanye nn nawapenda wote. Nifanye nn ili nieze kuchagua mmoja niendelee nae.
Siku wakiikataa mimba ndo utajua kuwa duniani kuna stress
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Ongeza mwingine wa kukupa Ukimwi Kbs maana ndo unalitaka..
 
Back
Top Bottom