The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,218
- 4,533
Cha msingi usisahau kuwalipia kodi
No usiwaache,ila jitahidi kuwa msiri na hii habari usimpe mtu yoyote,jitahidi kuwapangia ratiba,ambayo hawatajuana kabisaSikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye
Aliyeuza cheni bandia naye kapewa pesa bandia.Wao ni wajanja kuliko wewe.utakuja kiniambia jiraniSikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Ushauri wa shetwani mzoefu.No usiwaache,ila jitahidi kuwa msiri na hii habari usimpe mtu yoyote,jitahidi kuwapangia ratiba,ambayo hawatajuana kabisa
Kuhusu magonjwa,hata ukiwa na mmoja utaugua tu wewe muhimu ni kujilindaSikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Yaan tuko wote. Watu wanawezaje na hawashikwi? zaidi naogopa nosoje kosea kuname majina. Kwanza huo ujasiri napatia wapi wallah...Nimejitahidi mno kumiliki mwanaume zaidi ya mmoja ila nimeshindwa.hivi ni chuo gani wanatoa hii course aise
Maisha yanaenda kasi sana inabidi kujifunza kidogo kidogo aise😁😁Yaan tuko wote. Watu wanawezaje na hawashikwi? zaidi naogopa nosoje kosea kuname majina. Kwanza huo ujasiri napatia wapi wallah...
atupe tuition aisee... anacontrol vipi calls na texts. Anaishi mwenyewe ama kwao? Na mimi sifutagi kbs convos za babes nataka kila saa niziangalie, sasa anabakishaga za wote ama? Hakaguliwagi kwa simu?Maisha yanaenda kasi sana inabidi kujifunza kidogo kidogo aise
Inaelekea anatia password kila mahali 😁😁😁atupe tuition aisee... anacontrol vipi calls na texts. Anaishi mwenyewe ama kwao? Na mimi sifutagi kbs convos za babes nataka kila saa niziangalie, sasa anabakishaga za wote ama? Hakaguliwagi kwa simu?
Ila naona kinyaaaa. same hole mtu anapee hapo halaf mwingine tena hapohapoa?
Ndo ujinga nisoupenda. Mateso ya nn yote hayoInaelekea anatia password kila mahali
Gunia 2 za mkaa zipo njiani na zina kuhusu.Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.
Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.
Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.
Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Gunia 2 za mkaa zipo njiani na zina kuhusu.
Na wala asije akaibuka na kile kikauli chao kwamba WANAUME WOTE NI MBWA TU...!!Siku ukipoteza wote uje hapa uanzishe uzi tukupe pole....#Badounanishauriharusi?
Mwanamke anakuwa kwenye wakati mgumu sana pindi anapotakiwa kuchagua mmoja kati aya;You anakutia poa..chagua anakutia uzuri.mengine yote mnatafta pamoja..
Nimejitahidi mno kumiliki mwanaume zaidi ya mmoja ila nimeshindwa.hivi ni chuo gani wanatoa hii course aise
Yaan tuko wote. Watu wanawezaje na hawashikwi? zaidi naogopa nosoje kosea kuname majina. Kwanza huo ujasiri napatia wapi wallah...
Maisha yanaenda kasi sana inabidi kujifunza kidogo kidogo aise
atupe tuition aisee... anacontrol vipi calls na texts. Anaishi mwenyewe ama kwao? Na mimi sifutagi kbs convos za babes nataka kila saa niziangalie, sasa anabakishaga za wote ama? Hakaguliwagi kwa simu?
Ila naona kinyaaaa. same hole mtu anapee hapo halaf mwingine tena hapohapoa?
Inaelekea anatia password kila mahali
Kuna watu wanasoma hizi convo wanasema hiiiiiiiNdo ujinga nisoupenda. Mateso ya nn yote hayo
Yap watakua na wapenzi wengine pia yeye ni kama spare au mchepuko wao wote ndio maana anaweza kuwacontrol woteI bet hao wanaume wako wana wapenzi wao wengine vinginevyo usingeweza kuwadanganya muda wote.