Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
No usiwaache,ila jitahidi kuwa msiri na hii habari usimpe mtu yoyote,jitahidi kuwapangia ratiba,ambayo hawatajuana kabisa
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye

Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Aliyeuza cheni bandia naye kapewa pesa bandia.Wao ni wajanja kuliko wewe.utakuja kiniambia jirani
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Kuhusu magonjwa,hata ukiwa na mmoja utaugua tu wewe muhimu ni kujilinda
 
Nimejitahidi mno kumiliki mwanaume zaidi ya mmoja ila nimeshindwa.hivi ni chuo gani wanatoa hii course aise
Yaan tuko wote. Watu wanawezaje na hawashikwi? zaidi naogopa nosoje kosea kuname majina. Kwanza huo ujasiri napatia wapi wallah...
 
Maisha yanaenda kasi sana inabidi kujifunza kidogo kidogo aise
atupe tuition aisee... anacontrol vipi calls na texts. Anaishi mwenyewe ama kwao? Na mimi sifutagi kbs convos za babes nataka kila saa niziangalie, sasa anabakishaga za wote ama? Hakaguliwagi kwa simu?

Ila naona kinyaaaa. same hole mtu anapee hapo halaf mwingine tena hapohapoa?
 
Inaelekea anatia password kila mahali 😁😁😁
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa nnavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Gunia 2 za mkaa zipo njiani na zina kuhusu.
 
You anakutia poa..chagua anakutia uzuri.mengine yote mnatafta pamoja..
Mwanamke anakuwa kwenye wakati mgumu sana pindi anapotakiwa kuchagua mmoja kati aya;
1. Mwenye hela lakini hapekenyui vizuri
2. Anayepekenyua haswaaaa lakini hana hata mia

Hapo ndo utasikia vikauli kama hivi.. NAWAPENDA WOTE
 
Nimejitahidi mno kumiliki mwanaume zaidi ya mmoja ila nimeshindwa.hivi ni chuo gani wanatoa hii course aise
Yaan tuko wote. Watu wanawezaje na hawashikwi? zaidi naogopa nosoje kosea kuname majina. Kwanza huo ujasiri napatia wapi wallah...
Maisha yanaenda kasi sana inabidi kujifunza kidogo kidogo aise
atupe tuition aisee... anacontrol vipi calls na texts. Anaishi mwenyewe ama kwao? Na mimi sifutagi kbs convos za babes nataka kila saa niziangalie, sasa anabakishaga za wote ama? Hakaguliwagi kwa simu?

Ila naona kinyaaaa. same hole mtu anapee hapo halaf mwingine tena hapohapoa?
Inaelekea anatia password kila mahali
Ndo ujinga nisoupenda. Mateso ya nn yote hayo
Kuna watu wanasoma hizi convo wanasema hiiiiiii
 
Back
Top Bottom