Kwa mara ya kwanza napanga kulishtaki baraza la mtihani ( necta) mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mara ya kwanza napanga kulishtaki baraza la mtihani ( necta) mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sisi kwa sisi, Feb 11, 2012.

 1. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza ninaweza kulishinda baraza la mitihani NACTE mahakamani.
  Nia ya mashataka yangu ni kutaka Mahakama kuu iruhusu mitihani yangu kusainishwa Upya kuupita Externa examiner.
  Sababu kuuu.
  Mtihani niliujibu vizuri tu maana ni mmoja kati niliopata mitihani. lakini nimeletewa D.
  Mtihani wa math ambao niliufanya kama inavyotakiwa kwa kujiamini hasa ukizingatia nililala nao , lkn pia nimepewa F.
  halikadhalika kiswahili na GEO hizo nimegaiwa F.
  mtihani wa ENG nimegaiwa C.
  kwa bahati mimi sio miongoni mwa waliofutiwa au Kupigwa W.
  I
  Hapa naamini nimefanya ndivyo, nilitegemea kupata Div 1 au kufutiwa matokeo moja kwa moja. lkn sikubaliani na matokeo haya walioniltea
  Au wanipe ufafanuzi zaidi Forumular gabi wametumia
   
 2. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,741
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Nisalimie wamakonde wote!
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  inachekesha af inahuzunisha ndio mwanzo wa kuwa na viongozi vihiyo.sa ulipataje majibu cc kwa cc huogope hata muumba wako.
   
 4. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Bwana mdogo inaonyesha haukuwa serious na masomo.Ishara ya hili ni kushindwa kwako kutofautisha NECTA na NACTE.
  NACTE ni baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi inayosimamia vyuo vya Elimu ya Juu visivyo Vyuo Vikuu.
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kabla hujaanza safari ya kuelekea huko unakokwenda kufungua kesi, hakikisha kuwa umeamka usingizini full ili waweze kuielewa kesi yako hao watakaohusika kufungua jalada. Kila la heri
   
 6. data

  data JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,685
  Likes Received: 4,282
  Trophy Points: 280
  Ww sidhani hata kama la saba umehitimu!!
   
 7. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Naombeni niulize swali la kisheria kidogo. Mtahiniwa hajakamatwa na evidence yoyote kwamba aliiba mtihani, ila baraza la mitihani likamfutia matokeo kwa kigezo cha mantiki (logic) kwamba yeye mtahiniwa baadhi ya majibu yalifanana na ya wenzake na wote waliandika jibu wakakosa, tena waliandika jibu ambalo katika multiple choice, halikuwa moja ya options. Mfano, swali lilitaka uchague kati ya A, B, C au D, lakini darasa zima likaandika O, logically kuna utata kuwa hawa walionyeshana majibu. Swali langu ni hili, baraza la mitihani lina uwezo wa kisheria kuwafutia matokeo wanafunzi hawa licha ya ukweli kwamba hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyekamatwa akimuonyesha mwenzake?
   
 8. M

  Mzalendoo Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wewe mtoto jipange upya,usisingizie baraza,yaani wewe masomo manne yote makers wanakukosesha kwani wanabifu nawe? Ushauri dont waste time and resources jipange vizur urudie mtihani.
   
 9. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 1,438
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna utaratibu wa ku appeal kama unahisi haujatendewa haki ?
  Hakuna ushindi wa mezani kijana ...
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,929
  Likes Received: 1,938
  Trophy Points: 280
  unazani ulisaishwa math na kiswahili na mtu mmoja
  wewe fanya mipango mingine hacha ubabe..
  Ulipopita mtiania wa form 2 bila kurudishwa nyuma pamoja na wastani wako kidogo ukajisifu.
   
 11. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,570
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Umevuna ulichopanda. Usisingizie Necta!
   
 12. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,267
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  vipi huko UZINI mchakato upoje?, bado mzee anasisitiza mwanaye ha uwezo wa kuongoza?

  :focus:
  umesahau yule mzee aliyemfuata mwalimu mkuu kumuuliza imekuwaje wanaye kafaulu darasa la saba wakati hajui ata kuandika jina lake?
   
Loading...