Kwa mara ya kwanza Mungu anakwenda kusema na Watanzania kwa ujumla wao!

TeamLowassa

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
1,495
936
Ni jumapili ya tarehe 25.10.2015 ! Kaa mkao wa kusikiliza sauti yake! Kilio chenu cha muda mrefu kimefika kwenye kiti chake cha enzi!
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu ! Sikutegemea kufanyika mabadiliko kirahisi namna hii katika nchi hii , lakini kwa uwezo wake imewezekana , asante Mungu .
 
Jingalao..utakuwa jinga milele....CCM ni kundi la wabinafsi wachache..ukiwepo na wewe...Hivi huwezi kuona Haki mchana kweupe...!!!!
Inshallah mpaka Jumatatu 26...tushajua nani Kashinda...????
 
Kama alivyosema na wakenya, kama alivyosema na wanaigeria, kama alivyosema na waghana, kama alivyosema wazambia, kama alivyosema na wacanada ndivyo hivyo atavyokwenda kusema na watanzania jumapili hii!
 
Back
Top Bottom