Kwa mara ya kwanza Mh. Mbatia aonesha Uzalendo tangu nchi ipate Uhuru wake 1961.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kwa waziri mkuu, mh. mbatia mbunge wa kuteuliwa na rais amemwomba waziri Mkuu kuwa nchi hii kila kitu kimekuwa ni janga kwa taifa hivyo kwa kuwa yeye ni mtaalamu wa majanga ameomba kushirikishwa kwenye kutatua matatizo hayo hasa kwenye hili la msongamano wa magari jijini Dar es salaam na majiji mengine ilikuepuka hali hiyo. waziri Mkuu akajibu kuwa ataunda team na kumshirikisha, hapa ndipo nina swali je ni kweli waziri mkuu atafanya hivyo? maana Nassary na Lema kawaziba mdomo kiana bungeni kwa swali la soweto.
 
Haya ni majibu ambayo yanatolewa kila siku na hawa watu,wala tusitegemee lolote hapo ni kupeana moyo tu.
 
Kwani Mbatia professional yake ni majanga?
Aka Majanga Expert?
Mnamaanisha jamaa ana bachelor in catastrophes au ?
sijaelewa kabisa bado ati
 
Jamaa yupo makini sana tangu enzi ya Mrema alikuwa mkurugenzi wa sera au habari sikumbuki vzr ila namkubali huyu jamaa
 
Teh teh, mbatia anaomba kazi kijanja anajua mwaka 2015 hakuna cha ubunge wa viti maalumu wa kuteuliwa na rais, na jimboni atadondokea pua!
 
Ana Masters ya Civil Engineering in Built Environment from Hanze University Netherlands.
 
Haya ni majibu ambayo yanatolewa kila siku na hawa watu,wala tusitegemee lolote hapo ni kupeana moyo tu.

Hawa watu wenye magamba ni majanga kwa nchi hii na hata siku moja huwa hawasemi ukweli!! Mnakumbuka mkweree alipoahidi kuwa wangetunga sheria ya kutenganisha kufanya biashsra na ubunge? Mpaka leo hiyo sheria iko wapi na wakina Abood, Mohamed Enterprise etc bado wanatumia bunge kujinufaisha katika biashara zao!!!
 
teh teh, msiwaamini wanasiasa, by zitto kabwe!
 
Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kwa waziri mkuu, mh. mbatia mbunge wa kuteuliwa na rais amemwomba waziri Mkuu kuwa nchi hii kila kitu kimekuwa ni janga kwa taifa hivyo kwa kuwa yeye ni mtaalamu wa majanga ameomba kushirikishwa kwenye kutatua matatizo hayo hasa kwenye hili la msongamano wa magari jijini Dar es salaam na majiji mengine ilikuepuka hali hiyo. waziri Mkuu akajibu kuwa ataunda team na kumshirikisha, hapa ndipo nina swali je ni kweli waziri mkuu atafanya hivyo? maana Nassary na Lema kawaziba mdomo kiana bungeni kwa swali la soweto.
Nyie pusi mliozaliwa asubuhi ya leo hata dunia ya uzalendo hamuifahamu!
 
kudadeki hizokauli ndio zimefanya pinda aitwemzigo kwa kuto zifanyia kazi. bado anazirudia, duh kweli magambamba ni janga lataifa kama wanashindwa kukumbuka makosa waliyoyafanya. kauli kama nitaunda tume, nimeagiza wafuatile,tutalifanyiakazi nk. ndio zina mmaliza pinda
 
Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kwa waziri mkuu, mh. mbatia mbunge wa kuteuliwa na rais amemwomba waziri Mkuu kuwa nchi hii kila kitu kimekuwa ni janga kwa taifa hivyo kwa kuwa yeye ni mtaalamu wa majanga ameomba kushirikishwa kwenye kutatua matatizo hayo hasa kwenye hili la msongamano wa magari jijini Dar es salaam na majiji mengine ilikuepuka hali hiyo. waziri Mkuu akajibu kuwa ataunda team na kumshirikisha, hapa ndipo nina swali je ni kweli waziri mkuu atafanya hivyo? maana Nassary na Lema kawaziba mdomo kiana bungeni kwa swali la soweto.

Timu ngapi zitaundwa ili wale hizo pesa? yaani wewe umeona wa Mbatia ndio uzalendo tokea uhuru 1961?

Vipi Azimio la Arusha?
Vita vya Wahujumu Uchumi?
Makweta Exams?
JKT?
 
Jamaa yupo makini sana tangu enzi ya Mrema alikuwa mkurugenzi wa sera au habari sikumbuki vzr ila namkubali huyu jamaa

uko sahihi mkuu, I wish mbatia ndo angekuwa mwenyekt wetu chadema - yuko smart, hakurupuki, intelligent nk
 
Mkuu nikifikiri ni mada inayohusu patriotism na heroism kwa Taifa letu, kumbe aaaaah!

Naweza hisi hasira inayokupata unapokuta ujinga ktk vitu vilivyopaswa kuwa serious.....watanzania wa drama wanaotaka ita vitu vidogo ni uzalendo wapo wnegi sana.Halafu ktk sehemu ya uzalendo wao wanauza nchi.
 
naye si mngeshamchoka maana ni mfalme wa NCCR mageuzi, km alivyo mfalme wa TLP na yule wa CUF, wasioguswa na mtu hadi wawe CDM. naomba tuu kujua hivi ni mwenyekiti yupi wa chama cha siasa amekaa madarakani muda mrefu zaidi tz ? kuwa mkweli acha unafiki.
 
Back
Top Bottom