Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kwa waziri mkuu, mh. mbatia mbunge wa kuteuliwa na rais amemwomba waziri Mkuu kuwa nchi hii kila kitu kimekuwa ni janga kwa taifa hivyo kwa kuwa yeye ni mtaalamu wa majanga ameomba kushirikishwa kwenye kutatua matatizo hayo hasa kwenye hili la msongamano wa magari jijini Dar es salaam na majiji mengine ilikuepuka hali hiyo. waziri Mkuu akajibu kuwa ataunda team na kumshirikisha, hapa ndipo nina swali je ni kweli waziri mkuu atafanya hivyo? maana Nassary na Lema kawaziba mdomo kiana bungeni kwa swali la soweto.