Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,970
- 45,848
Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya taifa hili changa Mwanasiasa mzoefu . Nd. Maalim Seif hakushiriki uchaguzi kwa kutogombea nafasi yake pendwa ya urais.
Ni maendeleo mazuri kwa siasa za nchi yetu kwani ilifikia mahali karatasi za kura zilikua zinafanana kwani mgombea anabaki yule yule over the years.
Kama vile marekani walivyoshuhudia mwanaanga wa kwanza kutua kwenye mwezi; au kama vile taifa la urusi lilivyo shuhudia kwa mara ya kwanza mwanaanga wake Yuri Gagarin akiwa mtu wa kwanza duniani kuzunguka anga la dunia ndivyo nasi leo tunashuhudia mwanasiasa mkongwe kabisa akikaa pembeni na kuacha haki itendeke.
Binafsi napenda kumpongeza kwa hilo kwani amekua mfano mzuri kwa vizazi vijavyo kwa kutokuonesha ubinafsi.
Asante sana maalim Seif.