Elections 2010 Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii CCM wanasubiri matokeo bp juu

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndugu zangu wana JF,

Nimewasiliana na jamaa zangu mashabiki wa chama twawala kujua wanajisikiaje baada ya kuanza kupata matokeo ya awali. mmoja ameniambia kwamba kwa mara ya kwanza mwaka huu wanasubiri matokeo ya uchaguzi wakiwa na wasiwasi mkubwa. Jamaa yangu mwingine amenitaarifu amempigia bosi wake mmoja kutoka sumbawanga mjini ili ajue kinachoendelea. lakini bosi alikata simu tena inaonekana kwa hasira.

Nafirikia makamba, riziwan, tambwe hiza, kinana, .... watatokaje leo. Ama kweli siku ya kufa nyani...............
 
Unapowadharau wapiga kura wako mwaka nenda mwaka rudi, Unapolewa madaraka na kuwa na kiburi na hata kuwakejeli waoiga kura wako. Unapotoa ahadi za uwongo ili kuchaguliwa tena wakati zile zilizopita hukuzitimiza matokeo yake ndiyo kama hivi. Bado kuna safari ndefu mpaka matokeo yote na naamini kabisa nchi italipuka kwa furaha kubwa pale itakapothibitishwa kwamba Watanzania tumempiga mweleka Mkwere,:peace::peace::peace:
 
Nani aneyeweza kujua athari ya kura za Zanzibar kwenye ujumla wa kura zote? Mwenye update ya karibu atupe tafathali.
 
Ninausubiri kwa hamu sana matokeo ili nilinganishe na utafiti wa redet na synovate.
 
kweli ccm wamepata fundisho la karne awatasahau hili pigo ata kujiaminisha tena hureeeeeeeeee chadema
 
Late is more than ever!
We Steel have a chance to make the best decisions for the betterments of our country!WE NOW SHOW THE WOULD WE MAKE A CHANGE FOR OUR BETTERMENTS! LET this be lesson to them and for any one who wants to lead TANZANIA that any single second of what you DID is counted.
 
Siamini kwamba sisiem inakwenda hivi hivi. Wamepigwa knock out lakin wanakataa kukubali. Makamba atazimia.
 
Back
Top Bottom